BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Naipenda dar hadi naumwaKurudia rudia pics hadi lini kijana
hatujaenda upanga, hatujaenda kawe, na hatujaenda maeneo ya victoriaYaani hizo towers zikikamilika sijui itakuwaje
How can you compare nai with dar..Sasa ilitakaje!
mombasa haina lolote
Majengo 2 mnapost kila picha!!