Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So laki laki nane ndo inakufanya uite watu Masikini humu?
Na hiyo statement ilivyo zibwa zibwa!
Kwani ulitaka Kuona ni nani ananipea pesa na pia ni nani namtumia pesa?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wakati babu yenu Maghu alikua in denial about Covid-19 Kenya equipped all county hospitals with CT-Scans. Vitu tulifanya four years ago munafanya sahii.


View: https://x.com/MOH_Kenya/status/1241670700202708992?s=20
Hakuna mahala ambapo wamesema kaunti zote Zina CT Scans.

Onyesha kama sisi tunavyoonesha Moja Moja.Mpaka Sasa mumeonesha 12 tuu Tzn ziko 45.

Tunazidi kuchanja mbuga kwenye sekta ya Afya πŸ‘‡

View: https://twitter.com/kapeto98/status/1756257899699966148?t=UPNcFXO-5yzrT0kLuPKiSA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…