Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wahindi,waphilinnes na wapakistan mnashindana nao kuosha vyoo gulf huko
 
zibadilisheni sasa mfanye Turkana iwe sehemu salama ya kuishi na kulima kama ilivyokuwa Libya. wananchi mnatafutiwa pa kwenda na raisi badala ya kuunda ajira hapo nyumbani.
Nyinyi hamtafutiwi na pia hamna ajira nyumbani. Kazi ni tu exportation of beggars and drug traffickers.
 
Samsung and Oppo are not innovations, those are just brands. Or in short they are generics πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.

Kwani watanzania wote ni wajinga kwenye hii thread?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
This confirms you are working in a pharmaceutical industry, kuna mtu alisema humu and that was just right , and I know for sure you are not a pharmacist , who are you then . guess you are dispensing medicines in a random chemist store in nairobi. Heshimu watu humu. Lazima mpelekwe saudia kupiga ubeki tatu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yani you are so confused hata hujui ni nini unaandikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Is this not you?πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
umechagua hicho kipande weka ujumbe mzima we mwehu nliongelea swala la kulima na nikakujuza akifanyacho pia sasa uandishi wake na kulima vimeingianaje.
 
Ndio umejua leo ati I'm working in a Pharmaceuticals industry?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.

I made that known long time ago. Again Pharmaceutical industry is not all about Pharmacist, pharmtechs, Pharmacy outlets and Chemists.

Let me give you a small homework, go and check the role of Microbiologist and Biotechnologist in a Pharmaceutical industry.
 
Nyinyi hamtafutiwi na pia hamna ajira nyumbani. Kazi ni tu exportation of beggars and drug traffickers.
njoo huku uajiriwe na ule chakula unenepe huo mtura usifikiri ni nyie mnatafutiwa nafasi za kuwa manamba ugenini kama mnajiweza serekali itengeneze mazingira wezeshi ya kuwatengenezea ajira hapo nyumbani.
Shida mmemkabidhi nchi kiongozi wa karismatiki mfanye maombi tuu hamna namna.
 
Inaweza kuwa viazi vya ku kaanga kwa ulaya vilipendwa ufaransa lakini siyo kweli watu wa mabara mengine hawakuwa wanakaanga viazi. French kiss, fries na braids siyo kwamba vilianzia Ufaransa, hata watanzania tuna tatu kichwa lakini hazijulikani kama Tanzania braids.
 
Just go to Google and search the daily amount watu wa Mjengo wanalipwa Nairobi. Ukipata less than 500 in 2023 rudi tuongee.
Nika google kivip wakati nimekwambia what the organization does? Na mimi Nimekua ground so Am not doing guess work nina information halisi ya what is going on in your local communities Nairobi sema wakati mwingine naamua kukaa kimya sababu ya privacy za watu!nakwambia hali halisi on the ground! Hiii hapa mojapo za local workshop!!!na our local partners
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…