Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unachekesha ama umejaa ujinga, ukiona kitu kipo expensive let's say ardhi, etc ujue kuna status au ubora ndani yake vitu haviwezi kuwa expensive bila sababu, pia economy ya Kenya ni karibu mara mbili ya tanzanya ni aibu kujilinganisha
We jamaa acha kuropoka hapa.
Ninyi kwenu ujenzi kuwa gharama haihusiani na ubora.
Bali kwenu ardhi kuimiliki ni ngumu.
Unasemea ubora wa yale majengo yenu yanayoanguka daily??
Au nilete picha za majengo yenu yaliyoanguka??
 
Wewe ndio huelewi.
Purchasing power ndio ina determine cost of living.
Ability of your money to purchase more or less due to high or low costs.
Unatofautishaje PP na cost of living??
Pesa yako ikiwa na uwezo wa kununua sana kulingana na gharama ya maisha ama kununua kidogo kulingana na gharama kubwa za maisha ndio maana halisi ya PP.
 
Richer country like US eti? Sasa mbona US soda ni free of charge ukiingia KFC? And all food items are cheaper compared to Kunyaland so na wao ni maskini kuliko ninyi mnaopigwa mnada Libya?
 
Japan na Marekani kuna mpaka gari ya $ 100 kwa hiyo Kunyaland ni richer than them? Bei ya brand new iPhone marekani ni kama ya itel Kunyaland so ninyi mpo juu yao kiuchumi?
Tunafananisha kitu cha aina moja sehemu tafauti mfano pepsi kwa mtaa si bei sawa na ya hotel ya 5 star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…