Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Hamna unajua haya maisha yana mtizamo tofauti bro.
Mwanaume kulishwa na mwanamke hakuondoi uanaume wake ila inategemea unalishwa kwa aspects zipi na nyakati zipi.
Huyo Sama boy 255 anapewa kila kitu na bibi. Siku watakosana atafukuzwa bila kupewa hata kijiko sababu bibi amenunua everything kwa nyumba.
 
Huyo Sama boy 255 anapewa kila kitu na bibi. Siku watakosana atafukuzwa bila kupewa hata kijiko sababu bibi amenunua everything kwa nyumba.
Kaka mie ngoja niwaache mmalizane maana daaah!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Huu ugomvi wa ngumi.
 
Kaka mie ngoja niwaache mmalizane maana daaah!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Huu ugomvi wa ngumi.
Mimi sina ugomvi na mtu. I'm only dancing to his songs😊😊
 
Huyo Sama boy 255 anapewa kila kitu na bibi. Siku watakosana atafukuzwa bila kupewa hata kijiko sababu bibi amenunua everything kwa nyumba.
🀣🀣🀣🀣🀣 Ikiwa ni kweli kwamba nalelewa mbona unyama tu, heb cheki nnavyopondwa huku πŸ‘‡mimi nikijua nakuweza nakua na karaha sana. 🀣🀣🀣 Endelea kuumia, hiyo ilikua last year before Ramadan
 
There's a big difference between kupendwa and simping, wewe unasimp.

Unajua tu vizuri usiposimp utakosa Pesa za bundles πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Lest do comparison between these two pictures πŸ‘‡View attachment 2909970vs your best picture enye umechagua kupost ukitamba tutambia kuwa wewe ni mjanja πŸ‘‡View attachment 2909971🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Baadala ya kulishwa na bibi tunaezakukusanyia pesa hapa JF ukuje Kenya ufanye kazi ya omba omba barabarani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.
 
There's a big difference between kupendwa and simping, wewe unasimp.

Unajua tu vizuri usiposimp utakosa Pesa za bundles πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
🀣🀣🀣 Mimi napendwa na watu, hadi rafiki zangu wa kike wananitamani πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ yaani mimi ni sukari yao
 
🀣🀣🀣 Mimi napendwa na watu, hadi rafiki zangu wa kike wananitamani πŸ‘‡View attachment 2909982🀣🀣🀣🀣 yaani mimi ni sukari yao
Chattings za umaskini hizi.

Ebu niwaulize watanzania, nyinyi wote simps like this guy ama hii yake imepanda ndege?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


There's nothing bad like simping πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…