Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jengo lishajengwa ww unaongelea jengo ambalo lipo kilichobakia ni kuweka vifaaπŸ˜‚πŸ˜‚ na tena linaoneshwa jengo lenyewe

Jengo la mbeya same limeshajengwa muda mrefu ilibakia ufunguzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
 
If You expect me to argue with you then I'm sorry to let you know that I don't have that time to waste.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kama lilijengwa hayo mabilioni yaliyolewa Ili kukupamba wewe au?

Uwe unaelewa au kambishie RC basi ngoja nikupe Account yake πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C38ECNAt1jk/?igsh=M3Nwa2IweGp4a2Fu
Hater unatapatapa sana 😁😁😁😁

Unaumia sana baada ya kuona kwamba Samia Ametoa Pesa za kukamilisha ujenzi wa jengo la abiria,kufanya runway,kufunga taa na Sasa coldroom facilities loading
 
Jengo la abiria songwe limejengwa toka kipindi cha magu na limemalizika muda tu🀣🀣🀣
Nashangaa Sana kwann watu wanatumia nguvu Sana

View: https://twitter.com/ngaizer/status/986598212667666432?t=_cz0qwNjg2SILr-fHAf5mw&s=19
 
Kwa nini lilikuwa halitumiki? Mlikuwa mnasubiria nini? Sisi tunajua Samia ndio ametukamilishia uwanja Wetu kuwa wa Kisasa,full stop.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mada imebadilika sasa
Kwann Munatumia nguvu Sana kunadi wakat vitu vishafanyika

Naww ni chawa pro max unalipwa lakini?😁
 
Nawashangaa mnaopoteza muda kumjibu huyo mtu. Hujamjua tu? Just ignore him. Kwanza amegeuza thread kama page ya Tamisemi
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nasubiri kuona jengo jipya la abiria mwanza tofaut na Hilo ambalo limeshajengwa

Tusubiri tuone
Msikilize RC Makalla hapa akiwakejeli kwamba mlijenga godown badala ya Terminal building πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://youtu.be/BUNubKrwlNo?si=RocsBjo4VRcZqxqBcc coodip1

Hii sio terminal building ni kituko Cha awamu ya 5 😁😁

View: https://youtu.be/iIYNUGWof4M?si=iv0zaCRnlKSUZpab
 
Narudia tena πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nasubiri kuona jengo jipya la abiria mwanza tofaut na Hilo ambalo limeshajengwa

Tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…