Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What about quarter final ya CAFCL 2024. Je fifa ban inawabana hadi huko? Visingizio tele,magoli yote mliyofunga hayakuwasaidia kuepuka fifa ban eeh?
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
 
Ati American football is bigger than Rugby....hehehe. Nevertheless, what sport is tanganyika good at so we ask....please don't give us this yanga simba yada yada nonsense
Am an American football junkie… knows the game inside out and I can definitely attest that the list is straight outta Wikipedia.. πŸ€£πŸ€£β€¦. American football 🏈 is just that… American… and little bit Canada and Europe…. Rugby πŸ‰ is worldwide and bigger, no doubt…
 
Mmeeona nyumba za Mathare, πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…

Mmeona mtu anakaa pembeni ya uchafu, haya maghorofa yanajengwa hivi issue ya sanitation inakuwaje, matank ya maji taka yanaenda wapi, nyumba zote zina madirisha upande wa balconies tu, na ndio sehemu za kuanikia nguo.

Kuna Mkenya humu akasema wana purchasing power kubwa wanakula KFC, imagine mtu ana hela ya kula KFC hana hela ya kukaa sehemu nzuri na safi, kama sio mwehu ni nini

Hizi picha tuzitunze
 
Naona umejificha kwenye kichaka cha fifa ban ili mradi tu upate visingizio anyway bongolala sio tusi kama unavyodhani pole
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
 
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
Danganyeni watu wasiojua mpira, na sio wanaojua mpira..

Kwenye CAFCL, Girl Maria walitakiwa waparticipate lkn waliondolewa sababu ya Madeni na utapeli mliwafanyia wachezaji wa zaman


Kwenye CAFCC, Kakamega Homeboys walishiriki, lkn walikula mkong'oto round ya kwanza ya mashindano (first preliminary round) na katimu ambacho nchi yake ina migogoro kila mara. Na matokeo yake yalikuwa ni haya
 
Vijana wawili Tu wametikisa dunia Huko wameingiza pesa ya mana 250,000
Haya tuambie thamani ya hzo medali
View attachment 2923515
We uko sawa kweli?
What sport us that categorized as? Sasa utaleta any random event hata muhindi wa AzamπŸ˜‚πŸ˜‚
Hata Kama hamna any world stage excellence kwa sport manze AGT is stretching it a bit
 
Kwann msipigwe ban ikiwa pesa za wachezaji hamulipi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na hii ni juzi Tu

View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1763062841899196682?t=iFNH9z6nUGvwTZiNn5zlSQ&s=19
 
Do you know how FIFA ban works ama naongea na blind patriots?

FIFA ban affects international matches of both clubs and national team of the affected country. Umesikia bongolala
Hzo international matches mutacheza VP wakat hamulipi wachezaji pesa zao??🀣🀣

View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1763063706437427237?t=WLhqwbI-hA0lTbEgr2eDsQ&s=19

Soccer ni investment kama huweki pesa KAZI ni kuweka maneno Tu na sifa Tu hakuna kitu utafanya πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ kila siku utasingizia FIFA ban
 
We uko sawa kweli?
What sport us that categorized as? Sasa utaleta any random event hata muhindi wa AzamπŸ˜‚πŸ˜‚
Hata Kama hamna any world stage excellence kwa sport manze AGT is stretching it a bit
American got talent ni ndogo au sio??🀣🀣
Kama rahisi peleka makende yako tuone
Watu wanaingiza pesa nyinyi munaingiza maneno na sifa

Vijawa wawili Tu wameingiza 250,000 USD American got talent ni pesa nyingi Sana Sana alaf mukijua kuoneshwa majumba ya kifakhari na magari ya kifakhari yakimilikiwa na vijana wadogo munashtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…