NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Hizo magofu haziitaji rennovation bali reconstruction. Sasa upuzi kama huu ufanye renovation alafu uchezee AFCON? π€£ π€£Hivyo viwanja vimejengwa miaka ya 70s na 80s tunahitaji renovation tu mdogo wangu.
Stadium zilizopo zinahitaji renovation hapa TZ
1. Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium - Arusha Capacity (20,000)
2. Kirumba Stadium - Mwanza Capacity (35,000)
3. Kambarange Stadium - Shinyanga (30,000)
4. Ali Hassan Mwinyi Stadium Tabora (35,000)
5. Samora Stadium Iringa (25,000)
6. Jamhuri Stadium - Dodoma (30,000)
7. Jamhuri Stadium - Morogoro (20,000)
8. Sokoine Stadium - Mbeya (20,000)
9. Mkwakwani Stadium - Tanga (15,000)
10. Lake Tanganyika Stadium - Kigoma (20,000)
Hivi viwanja vinahitaji renovation tu. Ni viwanja vizuri sana
Lake Tanganyika Stadium kwa sasa inavyoonekana. Also Lake Tanganyika hauwezi ukawa wa Tano Tanzania. Ni wa saba au nane hukoTanzania top Stadiums
1. Benjamin Mkapa Stadium (Dar) - Complete
Capacity - 60,000
2. Uhuru Stadium (Dar) - Complete
Capacity - 15,000
3. Amaan Stadium (Zanzibar) - Complete
3. Kirumba Stadium (Mwanza) - Complete π€£ π€£ π€£
Capacity 35,000
4. Ali Hassan Mwinyi Stadium (Tabora) - Completeπ€£π€£
Capacity 35,000
View attachment 2928108
5. Lake Tanganyika Stadium
Capacity 20,000π€£π€£π€£
Verdict - ukitoa Benjamin Mkapa na Amaan, hizi stadium zingine za bongo ni jokes. Hiyo Uhuru Stadium kidogo inajaribu, ikifanyiwa renovation inaweza kuwa kali but hizo zingine ni uchafu tupu.π€£π€£π€£
Mbona sioni tofauti? π€£π€£Lake Tanganyika Stadium kwa sasa inavyoonekana. Also Lake Tanganyika hauwezi ukawa wa Tano Tanzania. Ni wa saba au nane huko
View attachment 2928121
Nimekupea list ya major stadiums in Kenya. Usijitafutia viwanja vya mitaani ukijifurahisha. Tumia hiyo list niliyokupea otherwise unajitekenya ukicheka. Meanwhile hapo kwenu Hadi list uliloweka ni majanga tupu.π€£π€£SportPesa Arena π€£ π€£ π€£ π€£ Kenya kama Kenya
View attachment 2928069
View attachment 2928070
Hivyo viwanja vyote nimekupatia vinahija Renovation and upgrade. Bahati mbaya kabisa huko kenya hakuna hata cha kuuanzia π€£ π€£ π€£ Every thing from zeroEti hizi magofu wanatuambia zihost Afcon. Hata training pekee ya AFCON hizi haziwezi. π€£π€£π€£
1. Arusha Stadium - 60,000Kenya Main Stadiums. Complete and under construction.
1. Talanta Stadium (Nairobi)- Under Construction
60,000 seater
2. Kasarani Stadium (Nairobi)- Under Renovation
60,000 Seater
3. Nyayo Stadium (Nairobi)- To be renovated
25,000 Seater
4. Bukhungu Stadium (Kakamega)- Under Reconstruction
Capacity - 30,000
5. Kipchoge Keino Stadium (Eldoret)- Under Construction
Capacity - 30,000
Nimekupea list ya major stadiums in Kenya. Usijitafutia viwanja vya mitaani ukijifurahisha. Tumia hiyo list niliyokupea otherwise unajitekenya ukicheka. Meanwhile hapo kwenu Hadi list uliloweka ni majanga tupu.π€£π€£
Twenze sawa sawa.Rangi rangi kidogo tu Sadio Mane atatingisha wavu hapa eti. π€£ π€£ π€£
Utaelewa tu twende taratibu π€£ π€£ π€£ π€£Leo Wabongolala wametambua kumbe huwa hawana stadiums. Huwa wanaona Benjamin Mkapa wanadhani wameshinda Kenya kwa stadiums. π€£π€£
Ukarabati unaendelea Mkwakwani Tanga. Kenya Zero π€£π€£π€£π€£Stadium nyingine kubwa ya Bongo hiyo. Wamenipea wenyewe. Kambarage Stadium. Ati hiyo ni 30,000 capacity. π€£ π€£