Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekosa points umeenda kutafuta old news ndio ujiliwaze. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kenya has 54 referral hospitals. Of these, 7 are national referral hospitals while 47 are county referral hospitals
Nyie wanuka mavi bado sana.

Sisi tuna mikoa zaidi ya 28 na kila mkoa una referral hospital ya mkoa. Kila mkoa una wilaya zaidi ya 3 na kila wilaya ina referral hospital ya wilaya na hapo hujaja zonal hospitals.
 
12km from Dar is a slum CBD πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Au nimedanganya?
12km from dar cbd, imejengeka mbaya sana. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡
Dunia ni mviringo au wewe ni wale waumini wa flat earth? Kwa umbali wa 12km kutoka pwani huwezi kuona chochote chenye kimo chini ya 30ft (10m). Dar kubwa, sasa inategemea wapi hiyo picha imepigwa, kama hakuna jengo la kimo cha angalau 40ft (12.19m) huwezi ona kitu.
 
Sasa nini ni tofauti Kati ya county hospital na regional referral Hospital?
 
Umekosa points umeenda kutafuta old news ndio ujiliwaze. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Najaribu kukuelewesha uelewe lakini sikulazmishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakenya wengi hukimbilia hospital za Tanzania kwa matibabu kama ukienda CCBRT mabingwa wa macho utakuta gari za wakenya zipo za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…