Mwambie without Kenyans hata hawangejua kwamba Magufuli died.Magufuli na Tundu Lissu. Wewe pia ungeweza kuafford ungekuja tu.
Everyday AMREF is airlifting patients from Tanzania to Kenya yet wako hapa wanapiga kelele.
Apate wapi. Huku Kenya Watanzania wanaojiweza ndio huafford kukuja, iwe shule ama hospitali. ๐คฃ ๐คฃUmesema pesa ya kuja Kenya ndio hana?๐๐
FactsApate wapi. Huku Kenya Watanzania wanaojiweza ndio huafford kukuja, iwe shule ama hospitali. ๐คฃ ๐คฃ
Usihamishe goli mzee. Dawa mmepata? ๐คฃ ๐คฃ ๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐ Hospitali zenu za mkoa zinafanya spinal surgery?
View: https://x.com/KBCChannel1/status/1568942279942983681?s=20
Hakuna stress kama kule na pesa ipo.Msigwa kanenepa, kweli urefu wa kamba umeongezeka.
Hata mambo ya Bone Marrow wamejua tu juzi after Kenya ishaifanya for sometime.๐ ๐ ๐ Hospitali zenu za mkoa zinafanya spinal surgery?
View: https://x.com/KBCChannel1/status/1568942279942983681?s=20
Unajiumiza mwenyewe,yan mtu aumie kwa render!๐Hakuna kitu huumiza Wadanganyika kama ukipost Talanta Stadium.๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Achna na hiyo habari ya mjini ni ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐ ๐ ๐Hata mambo ya Bone Marrow wamejua tu juzi after Kenya ishaifanya for sometime.
Then why have you replied to his comment if you aren't pained?Unajiumiza mwenyewe,yan mtu aumie kwa render!๐
Weka ushahidi. Najua kabisa huna๐๐๐Magufuli si alikuja kutibiwa Kenya?...
Wewe ndio ulikuwa unamtibu? Angeweza kwenda hata Malawi kuliko KenyaMagufuli si alikuja kutibiwa Kenya?
Tundu Lissu si alikuja kutibiwa Kenya?
So kila post unayoreply inakua inakuumiza,binafsi namuona mshamba tu maana iko anachokishupalia TZ tayari tunacho na kuna stadium 2 zitajengwa,uoni kama ni ushamba umeagiza kipaso hata akijatoka japan unaanza kumtambia mmiliki wa crown eti na ww umeagiza gari!kunyan acheni ushambaThen why have you replied to his comment if you aren't pained?