Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waficha aibu. Ndio maana wanaamini hawana slums.🀣🀣
Unafosi tufanane wewe empty talker a k.a mnuka mavi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba watoto wa Tz wanakufanjaa.? Wazazi wao ni wachoyo au they are not responsible for their families.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ulitaka tukatae msosi.?
 
Pia huyu ni Mtanzania. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hakuna kitu munaweza fanya, ju ni serikali yenu ilikuabli chakula cha msaada.


View: https://x.com/cw_pedro/status/1768601349334114652?s=20
Sijai ona shule ambayo watoto wanashinda njaa.
Na kama ikatokea hiyo shule ipo tatizo ni la uongozi wa shule
.
Mbona hao watoto wakirudi nyumbani hawalalamiki njaa??
TUNATAKA RIPOTI TUONE TANZANIA HOUSE HOLDS KUNA NJAA WANANCHI WANATEKETEA KAMA HAPO CHINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…