Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mpumbavu haswaa, we jamaa umeambiwa hiace au vipanya vilishapigwa marufuku kuja mjini, sasa kwenye zile picha ulipost zikionekana brt lanes zile ni hiace au vipanya.?
 
Hawa watu wanapenda ubishi za kijinga sana. Since when did Nissan start manufacturing Hiace vehicles? Ama Toyota waliwauzia hiyo trademark na Sina habari?!
Hao wanajua ati any passengers van ni Toyota Hiace.
 
Mm hata simuelew sijui kalewa Huyo maana eti kwenye picha aliopost haoni hiace mayb anaona nganya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bongolala, hakuna siku Nissan imewahitengeneza brand inaitwa Hiace. Hiace ni production ya Toyota. The vehicle in the picture I posted ni Nissan, not a Toyota. Mbona mambo rahisi mnaweka ubishi za kijinga?
 
Ben mkapa stadium — ready for the opening and the AFCON 2027 Finals
 

Attachments

  • 3DD09168-E39A-44B9-9424-F33CFD537EE1.jpeg
    68.2 KB · Views: 24
  • 66F54DBE-ECDE-43B5-925A-1C679E3FBF76.jpeg
    58.3 KB · Views: 21
  • B4F553D5-A563-498A-911C-35293A7A5E88.jpeg
    86.6 KB · Views: 29
  • D2D5EE19-A19C-48FA-9D8B-68A8C39110B2.jpeg
    146.6 KB · Views: 31
  • CA67BCC9-FE18-4927-81A5-3537932EB4B6.jpeg
    235.1 KB · Views: 32
  • 66797D06-374E-44A3-8C39-D419CEEDD589.jpeg
    179.5 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…