Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania iko mbele kwa sababu wanatumia apple na kenya oppo- hii jamaa kienyeji ni ya wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kunyaland kuna probox nyingi kuliko Tanzania.
Lkn sitoshangaa siku mkunya mmoja akaleta report (post/screenshot/link) inayosema kuwa Tanzania ina probox nyingi kuliko Kunyaland, afu yey na wenzake wakaidadadia hio report siku nzima
 
Angela Okutoyi is the new African women's Tennis champion.

Mibongolalala mnajua hata tennis ni nini?

KenyaπŸ‡°πŸ‡ͺ to the world
 
Kunyaland kuna probox nyingi kuliko Tanzania.
Lkn sitoshangaa siku mkunya mmoja akaleta report (post/screenshot/link) inayosema kuwa Tanzania ina probox nyingi kuliko Kunyaland, afu yey na wenzake wakaidadadia hio report siku nzima
Na wewe leta link ya ripoti kwamba Kenya Kuna brobox nyingi kushinda Tanzania tuone
 
Sipendi ego ya hawa watu, utadhani wako tu sawa, hii ndio ile barabara niliiangalia kwa macho hata hakukuwa na mvua, alafu huku wanaruka hio stori sana mpaka wanasema ni kitambo, mara kunajengwa brt … never admitting fault, in fact trolling Kenya.
Inaboo
 
Kunyaland kuna probox nyingi kuliko Tanzania.
Lkn sitoshangaa siku mkunya mmoja akaleta report (post/screenshot/link) inayosema kuwa Tanzania ina probox nyingi kuliko Kunyaland, afu yey na wenzake wakaidadadia hio report siku nzima
Kenya has more vehicles of any kind than Tanzania. Be it probox or mercedes S class. The most common vehicle in Kenya is Hilux though, not probox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…