Hawawezi kurudi tena na hio mada.Mshamba mwengine akauliza eti hilo kapeti la kijani lina kazi gani, wakenya ni washamba sanaa.
What is funny? Contesters being fined is a normal thing. Stop being stupid toilet boy.Is this true 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2950266
Nani anachukua hio fine 🤣🤣 manake inaonekana kama fine anachukua WRCWhat is funny? Contesters being fined is a normal thing. Stop being stupid toilet boy.
Kwamba flats ndio dili? Mzee ushawahi hata miliki kiwanja?Nimegundua waarabu wapo kwenye hizo flats nyinyi bongo lala kaeni tandari
Njoo kwangu Mombasa upagaweKwamba flats ndio dili? Mzee ushawahi hata miliki kiwanja?
Lazima dola milioni 70 zipatikane kwa namna yoyote. 😂😂😂Is this true 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2950266
Kweli sio Berlin, brt lane kwenye intersection bila traffic lights. Wajerumani sio wajinga kiasi hikoSio Berlin Germany ni dar kisutu🤣🤣
View attachment 2950286
Magari ya mchungaji😅