You are celebrating the death. Hadi wewe mzee mzima kama unafurahia baba ya mtu kufa? How many helicopters have fallen down in Kenya? Mbona hii mnashingilia sana? It’s because you are happy that the guy is dead.
Kwani Kenya ndio nchi ya kwanza helicopter imeanguka?Acha kulia lia wewe nyang'au. Si ulikuwa unatamba kuwa nyang'au wanaongoza kwa helicopter bora? RIP General F. O. Ogolla.
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto. Punguza majigambo ya kinyang'au yasiyo na tija, umesikia?Kwani Kenya ndio nchi ya kwanza helicopter imeanguka?
Unalia ukiwa wap?😄 Kibera?Tanzanians are celebrating the death of a person as if their life depend on it. Pathetic creatures.
Hiyo chopper Ruto pia hupanda!Ni aibu kubwa sana kwa nchi ambayo wananchi wake humu ndan kila siku wanasema wana jeshi bora na wana helicopters mpya, afu mkuu wao wa majeshi anaanguka na chuma chakavu.
Hivi imeanguka kwa sababu zile za uchakavu au wale wavamizi wameitungua?Hivi Kenya ipo salama kweli kama mkuu wa majeshi anauawa kibwege hivi?
Tena inawezekana ni bandits wameitungua sababu walienda kwenye imaya yao bila kibali 😂😂😂Hii battle ya nguvu za kijeshi kuanzia leo imefungwa rasmi, kwasababu hatuwezi shindana na taifa dhaifu kama hao mbwa. 😂😂😂
mpaka wana associations jinsi walivyo wengi bado wa Somali hapo 😂😂😂Ndio maana nakwambia you're too clueless to be travelled.
Bandits wameitungua chopa ya CDF hapo kundurenders republic 😂😂😂.Tena inawezekana ni bandits wameitungua sababu walienda kwenye imaya yao bila kibali 😂😂😂
Hizi zimewekwa na safaricom special for that event then wanazifungua wanasepa nazo😀
yeah, ya Lipumba.Wee vp ? CUF ndo nn? Chama cha siasa mpirani?