Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are a failed state pumbavu kabisa nyie, kila siku tunawaambia mnanunua mavitu ya enzi za WW1 mnabisha, mwishowe mpaka Ruto atakuja kuanguka na hayo ma scrapper.
Watu Hawaelewi kwanini taasisi kubwa kama US embassies wanauzaga vitu vyao wakishavitumia kwa miaka mitatu mwisho mitano wanapiga mnada, sasa hawa wananunua matakataka kwa bei ya jioni ili wawe nayo mengi wapate position ya kujiita powerhouse πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwasababu hizi land cruiser pick-up hua tunazi assemble pale AVA Mombasa, we don't heavily rely on imports.
Nioneshe mulio assemble 2024 🀣🀣🀣🀣🀣

Hvi ww unafkiri watu humu ni wajinga Sana au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

AVA ana assemble gari ngap kwa mwaka niletee mauzo yake hapa, na AVA ana assemble gari kwa order maalum sio kwamba ni official anatambulika labda na Toyota no way
 
Hizi gari zinakua assembled Kenya hata. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kubali Bongoslum hamna connections.
Leta nembo ya AVA mm nafunga ACC forever unafkiri ku assemble gari ni kama kunyayua kwapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenyans let us stop posting until after 21st
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Sikieni hii kondoo SASA
 
Toyota Land Cruiser, Toyota Hilux, Toyota Hiace na Toyota Fortuner zote zinakua assembled at AVA Mombasa.


View: https://x.com/anj_116_/status/1687104356364292097
 
simbacorp is the parent company n ava is a subsidiary!
So AVA haifai kua na website yake kivyake ju it's owned by Simba Corp? Enyewe unaweza kua mzee na bado ue pumbavu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…