Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani under construction
Nyayo Stadium under construction.
Which construction will happen again in Nyayo wakat juzi Tu pesa kibao zimeteketea hapo na hakuna kitu kinaonekana 🀣🀣🀣

Politicians Kenya hawatokua maskini mpaka kufa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kukosa akili ni kitu mbaya sana.

View attachment 2971119
And it was under renovation 2 years backπŸ˜…πŸ˜… hii renovation ya pili SASA ili watu wapige pesa kisawasawa akii politicians πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Hebu wewe tuambie Kenya ni Nani anakula pesa zenyu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
West Africa ina watu wa Ovyo sana Africa Bado wanapenda kutawaliwa kuliko sehemu nyingine za Africa
Historia ya miaka zaidi ya miaka 500 inapingana na we, kuhusu kutawaliwa kwa Afrika na Urusi. Sasa kama wewe ni mwerevu kuliko 'time tested' tabia ya warusi, basi utakuwa sawa na Dr. Fauci analiyetudanganya kuwa covid vaccine ni bora kuliko 'time tested' (million of yrs) natural immunity.
 
Renovations started today, Magazine said after 22nd April.

Kwa kukosa akili unajulikana kwa hilo.
Na hii ni ya pili after 2 yrs back πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Aloo nyinyi aliewaroga alikua ibilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…