Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna yule mwehu alibeza hii Dodoma sgr terminal πŸ˜‚πŸ˜‚. Mzigo huu apa πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/reel/C6IpehdNEo4/?igsh=YW95YTFsOG04bWVn.
Nyie wakenya hamuiwezi chochote Tanzania, truth be told, angalia hii station inakaa ulaya kabisa, the one and only indoor electrified SGR in East, west and central Africa, and one of the fewest in Africa, kama China mwanangu ❀️ ❀️ 😘 😘 😍 😍 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
 
Ww Acha uongo usifikiri hatujui tena nyamaza kabisa tutakuaibisha SASA hvi hapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Dar to Dom 722 km only 3 hrs
Mombasa to Nairobi 470km 6 hrs

Chukua scientific calculator niletee majibu
How will you know the distance between Dar and Dodoma when you are not a Tanzanian?

Are you aware that 722km divided by 3hrs is 241km/hr? How can a train with a maximum speed of 160km/h running at a speed of 120km/hr cover a distance of β€œ722km” in 3hrs?

Hiyo ni hesabu ya Yemen ama?

Alafu mafala wanane wote wamelike the stupidity umeandika hapo juu.

Ww Acha uongo usifikiri hatujui tena nyamaza kabisa tutakuaibisha SASA hvi hapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Dar to Dom 722 km only 3 hrs
Mombasa to Nairobi 470km 6 hrs

Chukua scientific calculator niletee majibu
722km umezitoa kwenye kinyeo ama πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa jibu lako manaake treni yenu ya diesel inakimbia kuliko electric train ya Tanzania? Huna akili matako wewe.
Your trains have a maximum speed of 180km/hr, Kenyan trains have a maximum speed of 200km/hr.
 
Si ulishindwa kuweka 5* za Zanzibar?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi kwa akili yako Zanzibar inayosifika duniani na yenye idadi kubwa ya watalii kuliko idadi ya watalii nchi zote EA combined inaweza ikakosa 5* hotel? Hivi unadhani mkenya wa leo ni mjinga kama mkenya wa jana umuongopee kwa peremende? Wacha utoto.
 
Sifa za Zanzibar ni hiziπŸ‘‡πŸŒˆ
 
So, kujua distance ya kutoka sehemu fulani kwenda nyingine inakuhitaji uwe raia wa hiyo nchi? Nikisema wewe ni mnuka mavi kuna watu watasema nakutukana? But again, do you think Kenyans are that stupid like you to support your argument that kenyan diesel locomotive is faster than Tanzanian electrical train?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…