Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mna utoto na inferiority complex. You people need to grow up. Nafurahi dunia imeanza kuwajua. Kitambo unafiki wenu ulijificha kwa Kiswahili lakini tangu muanze kujikakamua na Kiingereza mmeanza kutambuliwa tu.
Nani kakukataza ku post Mount Kenya? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Mount Kenya Sasa (Kichuguu Kenya)



 
Aisee Kenya ni Mavi, yani hili dege la mkoloni wanalitumia mpaka leo?
 
Safi sana kaka, asante kwa hii video, ni kweli hayo ma running track hatuyataki mana hii nchi sio ya riadha kama kenya, hii nchi ni ya soccer, ma running track yabaki Arusha ila Dar tunataka football stadiums, period.
 
wewe mpumbavu wa wapi ikija michezo mingine kama ya riadha itafanyika wapi sasa?
Wacha upuuzi tuna viwanja vingi nchi hii vya CCM na vyote vina running track, ifike mahali tukubaliane kwamba sio lazima kila kiwanja kiwekwe running track, hiyo running track ni kwa ajili ya riadha na sisi watanzania hatuna hobbie na riadha, wacha watoe hayo ma running track kama hupendi jenga uwanja wako weka ma running track, just simple like that.
 
Hope keshajua tofauti ya Tanzania na Kenya, hakuna mtalii anarudi Kenya baada ya kufika Tanzania, no wonder tunawazidi tourist receipts tena kwa mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…