Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wao ndio wa mwisho kupata alafu wanapiga kelele. Ebu angalia kama Rwanda wanayo pia. 🀣 🀣
Hao ndio wa mwisho kupata lakini hile kelele wako nayo ungedhani ni wao pekee ndio wanaunganisha HOWO trucks. Do you know why it’s called Slayqueen? Because they have assembly plant in almost all countries. Wengine wanawaita β€œMalayaβ€πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiwaona wakituingilia tukiongelea assembly plant zetu humu kumbe ni ni wivu tu. Nilidhani siku wataanza kupata assembly plants watazikataa. Kumbe ni kiu walikuwa nacho. 🀣 🀣
 
Saturn Corporation Limited Huu moto umekuuma sana. Pole utazoea tu.





 
Ukiwaona wakituingilia tukiongelea assembly plant zetu humu kumbe ni ni wivu tu. Nilidhani siku wataanza kupata assembly plants watazikataa. Kumbe ni kiu walikuwa nacho. 🀣 🀣
Wako na assembly plant ya kuunganisha only two automobile brands, moja ya tractor na ingine ya Slayqueen (HOWO)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kenya is assembling more than 20 brands.
  1. Isuzu
  2. Scania
  3. Volvo
  4. Toyota
  5. Volkswagen
  6. Tata
  7. Proton
  8. Mahindra
  9. Daewoo
  10. Foton
  11. Fuso
  12. Beiben Trucks
  13. Peugeot
  14. Hino
  15. Howo
  16. Mitsubishi
  17. Hyundai
  18. Honda
  19. Iveco
  20. Mercedes Benz
  21. Renault
 
Unalia ukiwa wapi? Tanzania will always be behind Kenya.

View attachment 2985995
Ziko wapi hzo sinotan assembly nioneshe assembly plant hapo tatu mm nifunge ACC SASA hvi 🀣🀣🀣🀣 hayo ni mwandishi hata kwenye kanga yapo nioneshe hio assembly plant ya miaka sita hapo

Au ww hujui assembly plant inakaa VP??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…