Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

File ya hewa ama? Taifa gas is non existence😂😂
Okay endelea kuamini hivyo upate faraja ya moyo.



Unless serikali yenu ipo na kazi ya kufungua hewa na your state emblem ni useless mpaka kufungua miradi isiyopo.
 
Okay endelea kuamini hivyo upate faraja ya moyo.

View attachment 2988208

Unless serikali yenu ipo na kazi ya kufungua hewa na your state emblem ni useless mpaka kufungua miradi isiyopo.
Hii picha hapa ndio kiwanda?😂😂😂.

What has happened in that site since 24th February 2023? Show us the progress .
 
Bora twende tu hata kwa mchina maana ulaya siku hizi wana ufala mwingi sana.

Inanikumbusha movie ya "The Aviator"

Maana nowadays Boeing inatoa mafamba ile MAX walimaliza Tatizo?
Tatizo lipo kwenye falsafa ya kampuni. Baada ya Boeing kuungana na MC Donnell, waliacha kutengeneza kwa ubora, walianza kupiga madenge ili kuongeza faida. Matokeo yake ndege zikaanza matatizo. Whistleblower wanaojitokeza wanauwawa, mpaka sasa wawili wameshaenda. Hili tatiizo ni la miaka mingi na Al jazeera walisharusha kipindi chake miaka 9 iliyopita.


View: https://www.youtube.com/watch?v=rvkEpstd9os
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…