Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Nimeanza kueleza kwa nini ulimuacha ajiaminishe ujinga wake. Alafu naomba Teargas aje achukuwe hili lipumbavu lake. Limesema yeye ni mmoja wa wanaojadiliana naye kwenye huu uzi. 🤣 🤣Nimependa ulivyojikaza na huyo popoma. Mimi alinichosha na upumbavu wake. 🤣 🤣
Hivi kuna mwaka unapita bila kusikia mauaji ya journalist au activist kenya!Kenya ipi yenye freedom of expression kuzidi Tanzania?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100084534322722/posts/pfbid032aDbRhrGC4e8kDwg3SFrRZ6sSGRZ8xRcbqP6Cpa1dAKjKN2s6H9yjgvG5344Rqdxl/?app=fbl
Sawa. 🚮Hukujibu swali Msenge wewe.
Lete ethnic group ambayo Yoruba wanatokea.
Hukuleta.
Aiseee🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️ wakenya mna ugumu wa uelewa.Kha! kha! kha! Hivi wewe una akili wewe?
Amekwambia hapo East Kwa also called Volta-Niger na bado unabisha tu? Hivi nani kakwambia Nilotes, Cushites na Bantus ndio only linguistic group hapa Africa. Mfano mzuri ni huu,
Umeuliza ''which country does Nelson Mandela come from? Kenya or Tanzania?''
Yeye Kakujibu, ''He neither comes from Kenya or Tanzania, he comes from South Africa, also called Mzansi''.
Alafu wewe sababu unajua nchi mbili pekee Africa unainsist hajakujibu kisa hajachagua moja ya hizo nchi ulizotaja.
Nimeona shida yake. Ni ile shida walio nayo 99.99% ya wabangolala. Kizungu Kizungumkuti. 🤣Nimeanza kueleza kwa nini ulimuacha ajiaminishe ujinga wake. Alafu naomba Teargas aje achukuwe hili lipumbavu lake. Limesema yeye ni mmoja wa wanaojadiliana naye kwenye huu uzi. 🤣 🤣
Yorubas belong to a language group known as Volta-NigerNilimuuliza wanaoongea Yoruba wametoka katika ethnic group ipi katika four African ethnicity?
Chimbuko ni wapi!?
Niletee jibu alilojibu.
Baba yake Phillemon Mikol Sarungi. Mjaluo.Huyo Maria si ndio ambaye baba yake ni muhamiaji kutoka kunyaland! 😂😂😂
Hakusema Niger-Congo, alisema Volta-Niger. 🤣 🤣Aiseee🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️ wakenya mna ugumu wa uelewa.
Labda niongee kitu cha mwisho.
Alisema Yoruba linguistic wanayotumia ni Niger-Congo.
Linguistic ni suala la lugha,ila lugha kabla haijaundwa lazima ikitazamwe asili ya chimbuko la kabila fulani ndipo tutajua muundo wa lugha umetokea wapi.
Sidhani kama hili mnalielewa ninyi jamaa.
Niger-Congo inaingia kwenye BANTU PROTOTYPE LINGUISTIC.
Aya nenda katafute chimbuko lake kesha urudi.
Ndio maana akati huu mjadala unakuja kule juu Gezaulole alisema Yoruba sio bantu mimi nikasema chimbuko lake wanaingia kwenye bantu,kwasababu wapo wanaosema kuwa Yoruba ni bantu na wapo wanaosema sio bantu.
Ila kwasababu zilizotolewa na wanaosema ni bantu mimi nimekubali kuwa Yoruba ni bantu,kwa kutizama kigezo kimoja chimbuko la asili yao linaingia katika bantu ethnicity.
Hata lugha hiyo ambayo mna claim ni Niger-Congo ni BANTU PROTOTYPE.
Mie huwa sibishani kama fala tu.
Uwe na asubuhi njema.
Sarungi Pamoja na Mungai ndio watu walioharibu elimu ya Tanzania. Walijifanya watanzania kumbe ni wakenya.Huyo Maria si ndio ambaye baba yake ni muhamiaji kutoka kunyaland! 😂😂😂
Bongolala unajua maana ya neno ethnicity kweli. Hivi, hujui kwamba Yoruba is an ethnic group in itself?Kwa akili zako hapa amejibu!?
Umefanya mtihani ungekua unaulizwa na wewe ungejibu hivi!?
Hapo halijajibiwa swali.
Ni sawa mimi nakuuliza "which country do Jaluo come from" we unanijibu they are neither Tanzanian nor Kenyans.
Je hilo ni jibu sahihi!?
Nauliza tena Yoruba wametokea ethnicity ipi!?
Taja ethnicity waliotokea.
Nahisi Wakenya mna shida ya uelewa kichwani.
Kama sio WABANTU JE NI ETHNICITY IPI KATIKA ETHNICITY ZA AFRICA!?
👆👆👆👆
Masoma ya Bongo yana shida.Bongolala unajua maana ya neno ethnicity kweli. Hivi, hujui kwamba Yoruba is an ethnic group in itself?
Let me break it up for you a little bit. Sukuma, Kikuyu, Igbo, Luo, Pokomo, Shona etc are all African ethnic groups found in different parts of the continent.
Unachoita ethnic group in this case is a language group. Examples of language groups in Africa are Cushites, Bantus and Nilotes. These are not ethnicities; they are language groups. For example, Luos belong to a language group called Nilotes, Sukumas are Bantus, et al.
I hope you've understood now
Tangu lini SARUNGI ikawa jina la kijaluo?Baba yake Phillemon Mikol Sarungi. Mjaluo.
Nilikutakana naye pale Kwa Oscar karibu na ubalozi wa Ufaransa, Mzee anapiga pombe ile mbaya. Serikali imemtelekeza kutokana na tabia zake za ajabu. Naona mtoto anampambania baba yake.
Huyu hapa:
View attachment 2990589
View attachment 2990591
Mama yake Maria SarungiHuyo Maria si ndio ambaye baba yake ni muhamiaji kutoka kunyaland! 😂😂😂
Sana tena sana. Yani jamaa hata hajui ethnicity ni nini alafu anatusumbua hapaMasoma ya Bongo yana shida.
Geza Ulole
Kwahiyo majina yote ya kijaluo unayajua?Tangu lini SARUNGI ikawa jina la kijaluo?
Ethnic ni population ambayo ina share common culture na language ni miongoni mwa culture.Bongolala unajua maana ya neno ethnicity kweli. Hivi, hujui kwamba Yoruba is an ethnic group in itself?
Let me break it up for you a little bit. Sukuma, Kikuyu, Igbo, Luo, Pokomo, Shona etc are all African ethnic groups found in different parts of the continent.
Unachoita ethnic group in this case is a language group. Examples of language groups in Africa are Cushites, Bantus and Nilotes. These are not ethnicities; they are language groups. For example, Luos belong to a language group called Nilotes, Sukumas are Bantus, et al.
I hope you've understood now
Tangu lini SARUNGI ikawa jina la kijaluo?