Iweje majumba yanaporomoka Kila siku, rushwa inaongezeka, mnadangamjwa na wachina wanawajengea reli la zamani kwa bei kubwa, mnashindwa kuongeza uzalishaji wa Chakula mnakufa kwa njaa, Sasa hiyo mitihani yenu inasaidiaje katika maisha yenu?Just accept that Tanzania is backwardπππ.
No country in the world test their students using multiple choice answers, no wonder kila mtu ni mjinga Tanzaniaπππ.
Nilipata History A without the help of multiple choices, hakuna kufunika macho na kuguess B or Cππ
kinachoangusha majumba kenya sio rushwa, ni elumu mbovu.Iweje majumba yanaporomoka Kila siku, rushwa inaongezeka, mnadangamjwa na wachina wanawajengea reli la zamani kwa bei kubwa, mnashindwa kuongeza uzalishaji wa Chakula mnakufa kwa njaa, Sasa hiyo mitihani yenu inasaidiaje katika maisha yenu?
Ndio sababu ninawauliza hao wanaosema examination zao ni bora, iweje haiwasaidii kutatua hayo matatizo?kinachoangusha majumba kenya sio rushwa, ni elumu mbovu.
Huku ndio hutaki kabisa hata kukanyaga, your small head can only comprehend cell biology πππKwani ni uongo. This is how I performed in my final High School exams.
Kiswahili A
Maths A
English B
Business Studies A
History A
CRE A
Biology A
Chemistry A
Mean Grade A
Na hii mkitu iko kama Peasi!Kumbe youβve also got these 1920s jalopies na hamsemi .πππView attachment 2990986
Ina mashavu mapana kama francis atwoli πππNa hii mkitu iko kama Peasi!
HongeraKwani ni uongo. This is how I performed in my final High School exams.
Kiswahili A
Maths A
English B
Business Studies A
History A
CRE A
Biology A
Chemistry A
Mean Grade A
Unaambiwa huko utafeli exam ya Form 6 yet exam ya university zao mtoto wa lower primary hapa Kenya anaweza jibu.ππTanzanian university examsπππ.
Sasa hiyo number 6 ni swali la kuuliza a university student kweli?ππ
View attachment 2991181
Kenya na Burundi ndio zisizokua na viwanja vyenye hadhi inayokubalika na South Sudan.
Wewe kama ulipata F mbona unaumwa na A za wengine? You think everyone is an F material?πHe he he another A student.
My ambitions were not inclined towards physics. I had already had two science subjects which were key to the course that I was eyeing for, why should I go for physics which was not important in that course?Huku ndio hutaki kabisa hata kukanyaga, your small head can only comprehend cell biology πππView attachment 2991202View attachment 2991201
Thanks.Hongera
Siezifanya Supplementary exams in Tanzanian Universities kama questions zinafana hiviππUnaambiwa huko utafeli exam ya Form 6 yet exam ya university zao mtoto wa lower primary hapa Kenya anaweza jibu.ππ