Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenyekiti wewe umefanya hawa watu wakaogopa yaani umewa-demoralize kabsaa! Ujue hupita humu kusoma comments! wanaogopa backlash!!πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wewe libaba lizee unaona stadium wapi hapo? Hizi ni dalili za uzee. Macho yashaanza kupatwa na shida ya kuona vizuri
ndo quality ya viwanja mnajenga! Hapo kati mnaweza kuweka pitch ikawa international stadium maana kuna mahali nimeona soko linavunjwa wanazungusha ukuta then inakuwa Bukhungu international stadium pale Kakamega ready for Madaraka celebration!

Render


VS

Kinachoendelea

View: https://x.com/EricNjiiru/status/1762777785351786599
 
Unapanga kuenda kaloleni slum tena? Huko kulibomolewa sijui utaishi wapi this time round.
Wee kaa tayari kudinywa Tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na safari nitawadinya kisawasawa
 
Wee kaa tayari kudinywa Tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na safari nitawadinya kisawasawa
I have informed you in advance that Kaloleni slum ilibomolewa. So jipange mapema penye utalala.
 
The construction on ground clearly matches the render. There's absolutely no discordance between the two. I wonder what you're on about.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…