Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama umekasirika jipige kidole alafu unuse, utapata faraja kubwa, sinaga masihara kwenye kazi zangu za kuwaumiza roho wakenya.
 
Memorandum of Agreement is not funding signing. Myemen utafundishwa hadi lini? Kusoma ndio hujui ama kuelewa ndio shida kwako?πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ni chizi mm nakwambia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Memorandum of Agreement is not funding signing. Myemen utafundishwa hadi lini? Kusoma ndio hujui ama kuelewa ndio shida kwako?πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona ruto kawafanya muwe kondoo kabisa SASA hvi munashangilia mpaka hewa 🀣🀣🀣

 
Kweli Tanzania inawanyima usingizi mumekosa project Kias kwamba mpaka SASA munashangilia hewa na picha za ruto akiwa US 🀣🀣🀣🀣🀣

Simulikua munalia twitter nyinyi ohh 200m ksh private jet from Dubai ohh Nye Nye Nye


View: https://x.com/danojowa2027/status/1793340686634570143?t=ARN_5jvOIuHp0LvVoHkAaw&s=19
 
ATCL ilianzishwa mwaka gani wewe kilaza?
 
Je hizo nchi 2 za eac umezijua ni zipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…