Does that change the fact that that's Dar?Ndio maana mumekaa wajinga so far watu wanapost picha ya 2022 na nyie munachukua hvo hvo kama kondoo๐๐
View attachment 2998443
Wewe hujui nairobi nyamaza. Unajua downtown Nairobi ipo upande gani?Naona mpaka majengo ya CBD Achilia mbali downtown ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa mukipata ya 2023 kama hii tutapumua kweli? ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Mumezoea ku import fossils ndio kwa maana unadhani Diamond alifanya kitu cha maana sana.2017 mzee unapanua mdomo hata ya diamond ni ya 2022๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Au unabisha sio ya 2017 nikuletee ushahidi sahivi
Unataka Mombasa ishindane na mji gani Tanzania?๐๐๐Hii ni nini unanionesha ๐๐๐๐๐๐๐
Tukianza na Mombasa nioneshe gari za kifakhari ambazo hazihusiani na joho + abduswamad family,
Alaf tutakuja Nairobi SASA ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hakuna kitu utanidanganya wewe
Hebu leta habari Uhuru akisign hiyo projectHaya Uhuru Kenyatta alikuja na hio project na ikafa so weka akiba ya maneno musiwe wajinga kushangilia vitu haijulikani ukweli wake ๐๐๐๐๐๐๐
The same project ilikua signed kipindi cha Uhuru na hakuna kilichofanyika
Kwa SASA acheni kua wajinga na watumwa wafikra
Ebu circle where Kilimani is in that picture๐๐Na CBD pamoja na downtown yote imo ndani bila kusahau kilimani๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mabaasha zenu Israel/Zionists are carpet bombing people in Palestine are they winning anything.I work for the governmentโฆ the regulations attached to my job are so severe a small mistake can put me in prisonโฆ Likewise, the US military is bound by rules of engagement that can sometimes tie their ability to finish an assignmentโฆ I donโt have to explain that.. otherwise they have the capability to carpet bomb the Taliban back to Stone Age but the cost of civilian and innocent Afghanis casualties would be too much to bareโฆ Go figure out what I just said and come back with an intelligent responseโฆ..
Ukipata Bentley Flying Spur kama hii ya 2023 huko bongo slum nitag nifunge account. ๐คฃ๐คฃ Bongoslum hamuwezi tuambia kitu about new cars na bado muna import gari za year 2000 in 2024.2017 mzee unapanua mdomo hata ya diamond ni ya 2022๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Au unabisha sio ya 2017 nikuletee ushahidi sahivi
Wewe ulitaka utagiwe 88Nairobi ikiwa design stageExpressway inamilikiwa na Nani??๐๐๐
Au hujui ni mali ya mchina
Nairobi to Mombasa sio mradi wa Leo wala wajanja hata kipindi cha Uhuru wali sign same thing alaf baadae ikawaje ??
Nakwambia wakianza ujenzi wowote unitag niwe wakwanza ๐๐๐๐๐
I had no idea there's a Bentley Flying Spur in Kenya.Ukipata Bentley Flying Spur kama hii ya 2023 huko bongo slum nitag nifunge account. ๐คฃ๐คฃ Bongoslum hamuwezi tuambia kitu about new cars na bado muna import gari za year 2000 in 2024.
View: https://www.instagram.com/reel/C5EErLSCDNA/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Kwa hivyo hawana? Inabidi waje Kenya kununua Rolls Royce for those who can afford RR?Punguza kuropokwa, Ukipata any showroom in bongoslum inauza rolls royce nitag.
Yani hawana majibu kabisa. Hawajaleta hata showroom moja. Alafu tukilete data showing we have a bigger middle-class population watu wanashikwa na hamaki!๐คฃA normal showroom selling Bentley Bentayga casually tu. ๐คฃ ๐คฃ
View: https://www.instagram.com/p/CrLa9HoIJMt/
๐๐๐๐Wewe ulitaka utagiwe 88Nairobi ikiwa design stage
Ukataka utagiwe ujenzi wa GTC ikianza
Ukataka utagiwe ujenzi wa expressway ikianza
Ukataka utagiwe ujenzi wa affordable housing projects zikianza
Ukataka utagiwe Lamu port ikijengwa
Ukataka utagiwe dongo kundu ikijengwa
Ukataka utagiwe CBK Pension ikijengwa
Ukataka utagiwe sgr ikifika naivasha
Kwa hizi zote na mengineyo, mwishowe zinafanyika na unabaki kinywa wazi. Utataka utagiwe hadi lini. Kwani wewe ni mayai? Huoni wewe ni mjinga na desperate?
Leta showroom ya Rolls Royce hapa Dar is slum tuone. Acha kukwepa swali2017 rolls Royce ndio kitu unataka tuongelee hapa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ