Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks Venus… I just connected with her… Pesa sio everything lakini sio problem either.. I will keep you updated… You earned my respect today but still doesn’t change the fact you haven’t proven anything regarding Mama Ngina .. ( drink!)… πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Humuwezi huyo wewe. Unapoteza muda wako tu.
 
Kelele nyingii wakati hata wezi wa mbuzi wanawashinda 🀣, jana Tu wameiba mbuzi 100 eti mmetuma chopper.
Kwa hiyo ule masaada wa choppers za marekani ni kwa ajili ya wezi wa mbuzi? 🀣🀣🀣
Hueleweki...
 
Ww kweli ni mwehu na Leo ndio nimethibitosha ww ni mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebu subiri Gor mahia kachukua kombe nioneshe gormahia kapewa bei gani??

Winner prize ya gormahia ni bei gan??

Nasubiria majibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…