Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida, render pointing north actual thing pointing South 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Sema unaumia bongolala. Leta project kama hiyo mwanza tuone
 
Kwani hiyo ni barabara ya kwanza ya tope huko Kenya? Huko kwenu ni vumbi tupu hakuna maajabu mzee.
Let's compare total length of paved roads kati ya Kenya na Tanzania tujue ni wapi ndio Kuna vumbi na tope
 
Aliekwambia ndege itakaa hapo hapo ikimsubiri ni Nani?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hivyo leo litakuja bure JNIA,
alafu kisha lirudi bure tena tarehe 5 South Korea kumchukua. Gharama ni hizo hizo..
Likowapi lile Gulf Stream
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa hivyo leo litakuja bure JNIA,
alafu kisha lirudi bure tena tarehe 5 South Korea kumchukua. Gharama ni hizo hizo..
Likowapi lile Gulf Stream
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mama anasafiri na msafara wa watu wengi including wafanyabiashara hivyo Gulfstream haitatosha possibly atatumia 737 MAX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…