NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
It's not a comeback. Ni somo. Una mazoea ya kujiweka kwa discussions wakati hakuna unachoelewa. Umeambiwa Kenyan architects and engineers work in Tanzania wewe unadhani wanajenga. Sasa kama huelewi kazi ya engineer ni nini utawezaje kujadiliana kwa mjadala kama huu?
Endeeleeni na definition. WatanZania wanachapa kazi 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Wakenya wanasubiri Muujiza wa Mwamposa
View attachment 3007431
Hii ni baada ya kula za uso.? Unaruka ruka tu kuhamisha mada. 🤣🤣🤣Ni kama upate watu wanapingana kati ya Messi na Ronaldo nani mkali. Wewe humjui Messi humjui Ronaldo ila unang'ang'ania kuwa involved kwa argument sasa unabakia ukisema ''Messi dunks better than Ronaldo''. 🤣 🤣 🤣
Nakwambia humu tunajadiliana na wendazimu. Eti all contractors are engineers. 🤣 🤣Oneni mwengine. 🤣 🤣 🤣
Umesoma shule gani wewe? Ndio maana tunasema nyie wakenya shule yenu ni duni. We are studying Engineering not Contracting. Go back to school.Oneni mwengine. 🤣 🤣 🤣
Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenziCome back yako ni kunitofautishia maana ya terminology engineering.? 🤣🤣 ulielewa swali we mnuka mavi wa kike ?
Kuna majengo in Tanzania yamejengwa na Kenyans.? Mradi wowote tu, hata nyumba ya mtu binafsi.? 🤣🤣🤣
Yani unaona hiyo sentence Iko na shida yoyote? Hebu tueleze iko na shida ganiEnglish ya wapi hii?
Wewe mwenye elimu duni unaweza kujadiliana na mimi? Hapa tunaongea wenye akili tu. In engineering we have (civil, mechanical, electrical, etc.)Nakwambia humu tunajadiliana na wendazimu. Eti all contractors are engineers.
Hebu mwambie azilete Tena tuoneProof zilishawekwa humu mara kibao wacha uzembe. chongchung kaweka proof zaidi ya 50 humu, just accept and move on jaluo
Wachana na yeye hajielewi..
Huyo mjinga amenikumbusha hii quote ya Abraham Lincoln wa Marekani inaenda hivi.Yani unaona hiyo sentence Iko na shida yoyote? Hebu tueleze iko na shida gani
Nyie Kenya endeleeni na kingereza tu. Mambo ya Science hamuyawezi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuambie Course gani Contractors wanasoma huko Kenya?Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenzi
There is no course called ''contractor''. Contractor ni mfanyabiashara. Huhitaji kwenda shule kusoma ndio uwe mfanya biashara. Mtu yeyote anaweza akawa contractor bila kusomea kazi yoyote. Narudia, kama hamuelewi kitu, msijiingize kwa mijadala juu ya hicho kitu. Mnajiaibisha na kunyesha ujinga wenu.Nyie Kenya endeleeni na kingereza tu. Mambo ya Science hamuyawezi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuambie Course gani Contractors wanasoma huko Kenya?
Bongolala, a contractor is simply a firm or person that provides materials and/or labour to perform a specific construction work. Contractors are not necessarily engineersWewe mwenye elimu duni unaweza kujadiliana na mimi? Hapa tunaongea wenye akili tu. In engineering we have (civil, mechanical, electrical, etc.)
Hebu tuambie huko kwenu Kenya; Contractors wanasoma nini? 🤣 🤣 🤣
Ina maana hata civil engineers hamna huko kwenu?Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenzi
Kijana wa Tandale, wacha kujifanya mjuaji na hakuna kitu unajua. I have never heard of any course called 'contractor'Nyie Kenya endeleeni na kingereza tu. Mambo ya Science hamuyawezi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuambie Course gani Contractors wanasoma huko Kenya?
Kumbe wakenya wote ni vilaza kuanzia wewe na hawa mbwa Rhaenyra Targaryen na hii mbuzi NairobiWalker 🤣🤣🤣 imejazana kupiga kelele kwamba engineers ain't builders 🤣🤣🤣 na hapa ndio tutapata kuona elimu ya jirani ilivyoduni, nimekua mvumilivu kidogo kuhimili matusi yao ili niwakamate wote kwa pamoja.. vilaza wakubwa nyie. Haya ruduni shule sasa 👇Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenzi
Ndio maana majengo yenu yanadondoka kila kukicha. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tatizo limeanzia hapaThere is no course called ''contractor''. Contractor ni mfanyabiashara. Huhitaji kwenda shule kusoma ndio uwe mfanya biashara. Mtu yeyote anaweza akawa contractor bila kusomea kazi yoyote. Narudia, kama hamuelewi kitu, msijiingize kwa mijadala juu ya hicho kitu. Mnajiaibisha na kunyesha ujinga wenu.