Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hujui kitu sema ufunzwe Malaya hii. Purchasing power of an individual is different with a purchasing power of a currency.

Purchasing power of an individual is also known as consumer spending power.
 
Huwa nasema hapa daily ati watanzania wote ni wajingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu jamaa huwa anajiaibishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hiyo picha ya smocha ni ya last month alitulia tu nayo kwa simu akingoja perfect time kuitupa hukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani ukikula smocha unapiga picha unangoja time ya kuflex nayo.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe kweli mpumbavu mbishi, kwahiyo unalinganisha maendeleo ya mji miji miwili kwa kuonyesha kenyan main road vs Kigoma random street roads.? 🀣🀣🀣 halafu unamwambia mwenzako aseme ukweli..? Wewe ni mpumbavu wa kutupa .
I knew his upumbavu ndio maana I did not waste my time kumjibu.
 
Yani ukikula smocha unapiga picha unangoja time ya kuflex nayo.πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukaiangalia hiyo smocha umeona vile Chapo imekauka? Ni kama hawakuipika na mafuta ya kutosha.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unabweka tu. Unajua hata maana ya PPP? 🀣 🀣 🀣 🀣 Education System ya Kenya ni ya kijinga sana.
PPP is not Exchange rate.
Stupid Mama Ngina
 
Kumbe we ni kiazi, nchi inayoongoza duniani kwa Purchasing power ni China, gharama ya maisha kwao ipo chini, hio ndio maana ya kuwa na purchasing power kubwa, njoo na 100 USD uje Dsm, halafu ukimaliza chukua hio hio 100 USD uende Nairobi, utagundua huduma zile zile ulizopata Dsm unakwenda gharamika zaidi ukiwa Nairobi, tofautisha GDP per capita na Purchasing power....

Huna lolote unafahamu..
 
Ukaiangalia hiyo smocha umeona vile Chapo imekauka? Ni kama hawakuipika na mafuta ya kutosha.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo sio smocha we kima, hiyo ni shawarma na haietengenezwi kwa chapati vole mnafanya huko kwenu may be nikusogezee karibu mbwa wewe utoe ushamba. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡

Na wala usibanaike hiyo Shawarma moja ni 7000 tz sh
Kila mshkaki mmoja 10,000
Soda 1000 tu

38,000 tu hiyo meal wala usitokwe na roho bure kima wewe. 🀣🀣🀣
 
Hawa wajinga hawajui what determines the prices of a commodity. Hawajui what is called supply and demand and how they relate price changes over time.
 
njoo na 100 USD uje Dsm, halafu ukimaliza chukua hio hio 100 USD uende Nairobi, utagundua huduma zile zile ulizopata Dsm unakwenda gharamika zaidi ukiwa Nairobi,
This is because the demand for items in Dar ziko chini kuliko supply. In Kenya the demand is higher than the supply.
 
Wewe ni mbumbumbu, liboya on steroids!., boss, mtandao uko, check prices ya vitu.., rent ya bedsitter tu, a room with choo na ni bafu pia in China ni ngapi? anzia hapo ndio ujue Africa ni fukara na nyie ni zaidi.., niondolee upuzi wenu tafadhali..,
 
Hiyo sio smocha we kima, hiyo ni shawarma na haietengenezwi kwa chapati vole mnafanya huko kwenu may be nikusogezee karibu mbwa wewe utoe ushamba. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡View attachment 3015417
Danganya wajinga. Hii ni smocha ya 110πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Na bill sio wewe umelipa, umelipiwa na msichanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Comoro ni muhimu kuwepo hapo, isiwekwe kwenye others mana wacomoro Tanzania ndiyo India yao kwenye matibabu.
Kwa population ya Comoros kwenye percentage ni wachache. Hao kenya ni 4% ukija kuhesabu kwa idadi unaweza kukuta ni wakenya more than 3,000,000.
 
Mungu saidia watanzania waanze kukula food za maanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtu amefurahii kukula this thing na anaringa nayo kweli kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kama hujui kitu sema ufunzwe Malaya hii. Purchasing power of an individual is different with a purchasing power of a currency.

Purchasing power of an individual is also known as consumer spending power.
Kumbe we ni npunʞɯ eti?
mi naongelea PPP.. in compare currency ya nchi moja na nyingine through basket of goods, uwezo wa kununua bidhaa..
 
Hawa wajinga hawajui what determines the prices of a commodity. Hawajui what is called supply and demand and how they relate price changes over time.
Kuelimisha mtanzania ni kazi ngumu sana, wabishi na hawajui mengi.., buffoons
 
Mzee kuanzia leo nakupigia salute kuhusu mambo ya Uchumi. Unapiga mle mle kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…