Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ungefyata tu, ona sasa? hehehe.., kapingane ama kujilinganisha na akina Malawi angalau..,
 
Huna evidences; is only stupid person can come in social media and brag. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
refer back and check how I dealt a blow to Dar vs Mombasa on residential estates.., hamna lolote, ama mna jipya?....,
 
Wewe ata nikupee evidence, with strong google earth images utabisha hadi mishipa inakutoka kwa shingo.., boss have been here long enough to know your reasonings.., muda wangu siharibu na nyinyi siku hizi..,
Mtu hata umpostie evidence atabisha na bado anakuuliza evidence. Hao ndio wa kupuuza.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huna evidences; is only stupid person can come in social media and brag. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
The forth most developing city in Tz (Dodoma), ni bora kuliko Mombasa by far as far residential dvp is concerned. Kama unaweza hii battle leta punbu zako hapa wewe nyang'au Don YF. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu hata umpostie evidence atabisha na bado anakuuliza evidence. Hao ndio wa kupuuza.πŸ˜‚πŸ˜‚
Exactly.., I know them., Tz bado sana.., kuna a US black couple who came to Mombasa from Dar.. they shared their experience in both cities and differences and gave Mombasa thumps up on many fronts.., sasa nani ataenda Tanzania kwa towns zao nje ya Dar alinganishe eti na Nairobi ama Mombasa? these baboons are sick., inaitwa blind patriotism wanajitetea sana lakini wapi, hehehe
 
Wewe mbwa hapa sio mahala pa kupiga pang'ang'a, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huna picha kaa kimya... seeing is believing. Usilete upumbavu humu
 
Siku mkiweza post Skyline ya Nairobi nitawapongeza sana. Tuleteeni bird's-eye view picture.
 
Kwa mara ya kwanza unamuongelea JPM in a positive way mara nyingi hata kama unampenda mama nae huwa anachemka sana kwenye baadhi ya maeneo mojawapo ni kutumia kodi zetu kujjenga kwa jirani atafute mwekezaji huko wamalizane huko huko
Nimefurahi sana,Wananchi wengi wamepinga vikali huu ujenzi Kwa Nchi jirani.

Kwa hili Magufuli asingekubali huu ujingaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C8ZwdSpNDeY/?igsh=MW54Z29vMzJmNWZoeQ==
Hii Bado inaniuma
 
The forth most developing city in Tz (Dodoma), ni bora kuliko Mombasa by far as far residential dvp is concerned. Kama unaweza hii battle leta punbu zako hapa wewe nyang'au Don YF. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ipambane na Dar kwanza, ikiishinda Dar ndio basi.., la sivyo ndoto zako ni valid.., endelea kuota.., unaona hizi fikra za kujidanganya ndio unataka nipingane nazo kilaza hehehehe, jipe shughli tu...,
 
Huo kwa sasa ni mwiko kwa wakenya hawezi hata siku moja akakubali kupost chochote. 🀣 🀣 🀣 🀣 Kwa sasa hivi wakenya ni wanyoonge mno. Ataishia kutupia tumaneno twa hapa na pale kisha atarudi zake kibera 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…