Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimemtolea tu example mbili kumuonyesha alivyo mjinga otherwise Samburu has more KM under tarmac than Kigoma and Samburu is an arid county inhabited by nomadic pastoralists.
First.
Kigoma is not inhabited by normadic. Arusha, Mwanza, Shinyanga, Geita, Tabora and Simiyu.ndio ipo na nomadic tribes.
 
They wanted to compare roads in Konza with roads in Dodoma
View attachment 3022843

Hizi ni njia za kupita magari .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni road standards zipi unazungumzia.? Mbona ni chochoro,.. tell me the difference between konza to this Avic town πŸ‘‡
 
Unanitafuta siyo. 🀣 🀣 🀣 🀣 Nimekuacha leo japo ujipongeza baada ya kutiwa virungu na polisi. Unataka niingia JF?
Nakutafuta vipi na ni wewe umeniquote na nikakujibu?🀣 🀣 Wewe huwa shortwire kiaina. Sijui kwa nini wenzako hawajawai tambua hilo. Unatafutanga attention sana yet hakuna mtu hukupea attention.
 
Nakutafuta vipi na ni wewe umeniquote na nikakujibu?🀣 🀣 Wewe huwa shortwire kiaina. Sijui kwa nini wenzako hawajawai tambua hilo. Unatafutanga attention sana yet hakuna mtu hukupea attention.
Are you right in your mind? You are comparing Kigoma and Samburu!!! Kigoma is a modern region, don't compare it to Kenya's garbage.
 
Nimemtolea tu example mbili kumuonyesha alivyo mjinga otherwise Samburu has more KM under tarmac than Kigoma and Samburu is an arid county inhabited by nomadic pastoralists.
Nakukumbusha kwamba two years from today hautakuwepo humu mana speed ya maendeleo tuliyo nayo ni kubwa mnoo, baadhi ya wakenya wenzako walishakimbia bado wewe na wenzako wachache, cc ni kama wachina tunajenga wenyewe sio kama economy yenu ya kusubiri investors waje. Na kwasasa tumeshafanikiwa kupenyeza puppets wetu huko kwenu wanawagombanisha mnauana wafanyabiashara wanahamia huku kwa speed ya umeme 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Yani mnaonyesha ndani ya Gated Community eti sasa barabara? 🀣 🀣 🀣
Ni nini kumbe.? Can't you see level za zile vichochoro za konza street ni hio ya mitaa ya Avic town.? 🀣🀣🀣 ulishaona wapi in the entire world a city with narrow roads like that of konza street..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…