Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawaida ya Waarabu kutakia Waafrika mabaya.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nayeye kwanini Ruto anaiweka Family yake kwenye Public. Mke na watoto wake wote wapo kwenye public. Hii ni risk kubwa mno ukiwa mnanasiasa.
Kenya ili uwe maarafu na tajiri ni lazma uwe mwanasiasa nje ya hapo utasugua gaga mpaka zitoe cheche πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenya ili uwe maarafu na tajiri ni lazma uwe mwanasiasa nje ya hapo utasugua gaga mpaka zitoe cheche πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Modern Countries hawafanyi hivyo. Akiwa Baba ni mwanasiasa family yake inakuwa kimya. Hata baba akichafuka family inabaki safe.

Michezo hiyo alitaka kuianzisha Kikwete hapa Tanzania. Ninajua siku zake zinahesabika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…