President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Stupidity. Watu wanapoteza maisha yao wewe unaleta comedy.Ghana wanapanga kukinukisha kama Gen z
View: https://twitter.com/PO_GrassRootM/status/1805918044020961585?t=Rm5RIhh4fhrVfajEwRJMqw&s=19
Ghana wanapanga kukinukisha kama Gen z
View: https://twitter.com/PO_GrassRootM/status/1805918044020961585?t=Rm5RIhh4fhrVfajEwRJMqw&s=19
Tushatoka huko kitambo sana, mambo ya wasanii kama harmonize kutoa album ya kumsifu Suluhu tuliwacha 90s wakati wa mzee Daniel Moi.Vilevile nawapa ushauri, siasa za uhasama haziwezi kuwafikisha popote.
Tulimuona Ruto alivyokuwa anamsumbua Uhuru. Na yeye kibao kimegeuka kwake. Hakuna mtu ataweza kuwasaidia tena. Mmeazisha siasa za chuki. Mpaka mtachinjana ninyi kwa ninyi kisha mtakuja Tanzania tuwasaidie kama tulivyowasaidia nchi nyingi wasiokuwa na adabu katika siasa zao.
Tuliwaona Rwanda, Burundi, Zimbabwe, Angola, SA, Uganda na nchi nyingi walikuja tukawasaidia. Sasa ni zamu ya kenya kuja kupiga magoti.
Ni haki yenu kukataa au kuupokea.Tushatoka huko kitambo sana, mambo ya wasanii kama harmonize kutoa album ya kumsifu Suluhu tuliwacha 90s wakati wa mzee Daniel Moi.
Saivi tunaendeshwa na policies ambazo ziko kwa katiba. Maandamano ni kuhusu ushuru bila kuzingatia kabila wala chama. Ndio maana Gen Z wanasema they are tribeless, learderless na partyless. Naomba sana one day Tanzania ijiondoe kwa minyororo ya CCM na wapiganie katiba mpya
Wakati Russia iliivamia Ukraine, France ilimfuta kiongozi wao wa ujasusi kwa kukosa kutabiri hilo. DP gachagua yuko sawa kabisa kumlaumu NIS chief kwa kukosa kutabiri Maandamano makali.
Ndio uhuru wa kutoa maoni huo. Huyo Fatma Karume. Babu yake alikuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Ni mwanasheria aliyevuliwa Uwakili. Tunamjua mno. Mwambie ajitokeze kwenye public kama anaweza watanzania wazae nae.
Unawekezaje nchi ambayo Polisi wenye silaha wanakimbizwa na raia wenye mawe na wanakimbia kama wako marathoni?ππHawa hata hela ya AFCON hawatakua nayo, budget ndio imecollapse hivyo na wasitegemee watalii wala FDI kwa miaka mitatu ijayo, hata ile mikataba ya uongo na kweli waliosaini na Biden ndio imeota mbawa hivyo, kilichotokea jana hakuna investor mwenye guts za kuja kuwekeza mabilioni maeneo ambayo wabunge wanapigwa kama vibaka hakuna usalama ππππ
Umetumia maneno mengi sana kutueleza jambo moja kwamba Tanzania ni one party state.Ni haki yenu kukataa au kuupokea.
But unapokuja kuongelea CCM, mdogo wangu. CCM ni jitu kubwa mno. Ni Palitical Party number 12 duniani kwa ukubwa.
Many Political Parties wanakuja kujifunza.
Also CCM is an institution no one owns it. Tafauti na hapo kenya kuna groups of hooligans.
Mwisho kabisa kwa umuhimu. Ni vizuri ukajifunza na kusoma kuhusu CCM. Is a Comolex System. Usishangae kuona wale wanaoiponda CCM ukawaona baadae ni viongozi ndani ya CCM.
Nakusihi acha uvivu na kukurupuka tumia internet kujifunza.
Akili za βmtu wetuβ utaziacha lini?π€¨π...DP gachagua yuko sawa kabisa kumlaumu NIS chief kwa kukosa kutabiri Maandamano makali.
Akili za βmtu wetuβ utaacha lini?
Usiniwekee mambo ya ufaransa hapa. Kenya bado ni nchi masikini iliyojaa ukabila usianze kujifananisha na ufaransa. Huoni aibu?π
Tuna katiba bora kuliko France..Usiniwekee mambo ya ufaransa hapa. Kenya bado ni nchi masikini iliyojaa ukabila usianze kujifananisha na ufaransa. Huoni aibu?π
Upuuzi mtupu.Tuna katiba bora kuliko France..
Hii ndio sababu si jadili na watu wa elimu ya multiple choices.Upuuzi mtupu.
Wewe unajiona una elimu gani ya maana?πHii ndio sababu si jadili na watu wa elimu ya multiple choices.