Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mngese unajua maana ya sarcasm ama unajiandikia vitu, watu wanavuka kwa mitumbwi dar slum karne hii na huoni tatizo.
Hasira zako peleka kwenye maandamano, hakuna kitu mpo juu ya Tz, sisi kwa sasa tunatumia hizi luxury Taxi za Azam pale kigamboni, tushatoka huko kwenye masafinaπŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20240630-155319~2.png
    579.7 KB · Views: 48
Wewe mbwa mji mkongwe zaidi Africa mashariki ni Kilwa empire. The city founded in 10th century. Historia mnasoma kenya ni takataka 🀣🀣🀣
Founded by persians from Iran. Lamu was founded by arabs from Oman in 11th century. Kiswahili imejaa kiarabu na kimijikenda
 
Hasira zako peleka kwenye maandamano, hakuna kitu mpo juu ya Tz, sisi kwa sasa tunatumia hizi luxury Taxi za Azam pale kigamboni, tushatoka huko kwenye masafinaπŸ‘‡πŸ‘‡ View attachment 3029800
Haya ndio yale mambo RRONDO amesema, state capture by arabs. Naskia mpaka reli watapewa. Mama anaupiga mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…