Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jirani roho itamuuma maana atashindwa ku-claim gari za Japan hutoka Mombasa!
Mwekezaji chizi tuu asiyefanya due diligence ndio ataweza kuwekeza Kenya nchi yenye ukabila na amani ndogo, gharama kubwa za umeme, corrupt leaders, sera mbovu na mwisho lakini sio kwa umuhimu esjiara ya mkaa to nowhere 😁
 
No moshi at all, alafu huyo mbwa analeta picha eti bichwa la ng'ombe halitoi moshi, uliona wapi? Picha imepigwa bichwa likiwa limesimama eti "halitoi moshi" tubaki humu πŸ‘‡ πŸ‘‡ 🀣 🀣 🀣 View attachment 3034391
Bila shaka Injector pump na piston rings zitakuwa zimechoka 🀣🀣🀣
 
Mwekezaji chizi tuu asiyefanya due diligence ndio ataweza kuwekeza Kenya nchi yenye ukabila na amani ndogo, gharama kubwa za umeme, corrupt leaders, sera mbovu na mwisho lakini sio kwa umuhimu esjiara ya mkaa to nowhere 😁
Vurugu za Kenya zimetunufaisha sn, now investors wote wanakuja Tanzania, Kenya watakuwa wanalazimika ku import from us, maisha yanaenda kasi sn aisee.
 
Sipo kwenye kusifu lakini ziara ya Mama korea imepleka wasanii wa kuigiza wa bongo kujifunza huko kwa wasanii wenzao wa koreaπŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/p/C9AO-Mfy2Xr/?igsh=MWt6M2k4ZDFpN3B1bw== mean while zakayo amewatafutia wapumbavu wenzake kazi za ndani huko ughaibuni. Taifa la kimavi mavi sana, kwa Sauti ya the best πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila bongo bata linaliwa wakuu. Hii ni kitambaa cheupe cha Sinza.. asubuhi saa mbili watu wanakula nyoka tu.
View: https://www.instagram.com/reel/C9Aulobt2Du/?igsh=MWRpNWU3cDA5NjdrMg== kule kenya wanaingia barabara kupinguziwa bei ya unga wa ugali 🀣🀣🀣 ukawaambia wao ni maskini wanakuja na data za jidipii pakapital. 🀣🀣 ground mambo ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…