Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mazungumzo yalishafanyika why leo unilaterally uongeze tozo bila makubalianao au ni tamaa ya kinyangau?
 
Nimeona adhuhuri TBC michezo Karia kakanusha kuwa kundurendamisifa atahosti ufunguzi na faino gemu bado najiuliza msemaji wa ikulu alitoa wapi hizo tarifa
Aawapii si kirahisi hivyo CAF washamchimba biti!

Nilisema jana kwamba ile kauli aikua kutoka CAF ispokua ni upumbavu tu wa hawa jirani zenu vilaza. 🀣🀣🀣

Sawa tumekuskia motsepe WA dongo kundu slum πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…