Ndio maana nimekwambia nairobi ndogo huwelew bado point yangu na lazma itaonekana imejengeka kwasababu ndogo kieneo, catch my point and mark my words...nimeshazungumza mpaka nimechoka lakini speed ya dar hahhahha sio ya kuchezeaSehemu moja? wewe wafahamu Nairobi kweli?? Kama wajua nairobi utaelewa si CBD pekee kumejengewa. Utafahamu there are other commercial areas like Upperhill etc. Pia size does not matter, kama kwa ukweli wafahamu Nairobi then utaelewa the metropolis area, areas out of narobi administrative areas,
Na for your information Paris is only around 105 square kilometres. But you do know kuna kitu kinaitwa metropolis??
Hahhaha nyako maber hataki kuona dar ilivobadilika hahhahaha hupendi ukweliMtu hawezi tofautisha tram na railway wanataka kujenga!!! fool
Dar inajulikana ni modern city bila hata kuoneshwaKila picha andikeni ni wapi.
Kasome vizuri links zipo zinakungoja uone how big companies kubwa east and central afrika zilivoamka tanzania au unataka utajiweNairobi ndio jiji lenye viwanda vingi Africa mashatiki
Ahahahaa maneno ya mkosaji raha kuwajua wakenya ahahahahaSorry, I don't argue with fools
Ahahahaa maneno ya mkosaji raha kuwajua wakenya ahahahaha
Ni aibu kujenga BRT than kufikiria kujenga light rail.