Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where did you get that info ya bold?
Hata mimi nikamshangaa Matako huyo.
Bunge Dodoma lilianza miaka ya 1970s kwa kuanzia kumbi ya Pius Msekwa yeye anakwambia la kwanza 2017πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Halafu anakwambia anajua historia yetu kuliko sisi.
 
Secondary ulisoma shule gani?
 
Ndio maana mko kwenye maandano na linchi lenu ni flat broke kwakua hampendi uhalisia. Hilo eneo idadi ya watu haufiki hata laki, ujenge stesheni kubwa kwa ajili ya nani na nini?

Mme leta coaches zaidi ya 18 kwa gharama kubwa kisa tu mkitaka kujifanya mko juu dhidi ya SGR yetu. Treni yenu abiria wenu7 wana lalama kuwa ni noisy na too slow na huchukua masaa zaidi ya sita. Sasa ni nani atapanda hizo coaches kwa gharama ya elf 12 ya Kenya na kukaa masaa 6 wakati ndege ni cheaper?
 
Kwa hiyo fare yao naenda DubaI na kurudi kwa ATCL 😁
 
Hela ya modernization hamna the only option ni kuuza mwekezaji aboreshe miundombinu otherwise ikiendelea kubaki mkononi mwa Serikali JKIA itakuwa banned na kiwanja kufungwa maana kiko beyond its use.
kama bandari na brt 😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…