Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mshamba wewe hao ni warangi na wanyaturu wa Dodoma ukija bongo utatapeliwa
Mkuu umesoma kilichoandikwa kiufasaha!?
Au unakurupuka kusoma!?
Hizo picha nimeleta mimi nikimuonesha kuwa hao ni Warangi ama wanyaturu.
Nashangaa imani attack mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Nina mke mnyaturu nisijue wanyaturu walivyo!?
 
Nyie wakunya mnaona ligi inavyokuwa promoted lakini? Football is money weka hela upate hela usitegemee watu watajaa uwanjani tuu lazima ifanyike promotion ya nguvu.
 
Mkuu umesoma kilichoandikwa kiufasaha!?
Au unakurupuka kusoma!?
Hizo picha nimeleta mimi nikimuonesha kuwa hao ni Warangi ama wanyaturu.
Nashangaa imani attack mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Nina mke mnyaturu nisijue wanyaturu walivyo!?
Mkuu nimekuquote vibaya ilikuwa niquote yule nyang'au
 
Juu ya hicho kijengo cha gorofa sita ama? 🀣 🀣 🀣
Ishu sio jengo ishu ni mazingira yanayozunguka hilo jengo, ni typical Ulaya kabisa, hakuna environment kama hiyo hapa East and central Africa. Na sio hapo tu, Dodoma ina sehemu nyingi zinakaa Europe, au nikuletee? Au unajisahaulisha?
 
Dodoma ita attract foreigners wengi to reside in kwasababu ya Hali ya hewa yake ya kuwa baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…