mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,693
- 7,052
Hawa watu ni wajinga sana aise🚮
Sports and a nation’s power status go together.. stronger nations have the biggest representation in world of sports…. And this just in..
Kenya - 161 total delegation in Paris
Tanzania- 15 total delegation in Paris..🤣🤣..
Whatever you do with this information is at your own discretion… 😂😂😂
Huyu nae atulie mbona hakuyasema hayo kipindi Magu Yuko hai?? Au anafkiri watanzania ni wajinga Sana hawajui kusoma ishara za nyakati😂😂😂😂😂
Halafu utasikia kwenye vijitakwimu vyao uchwara mwaka huu wa fedha wamejenga 10,000km za lami 🤣🤣🤣🤣Sasa hivi hakuna pesa za kujenga barabara huko kunyaland..
Pesa nyingi ipo kwenye kukarabati viwanja vya michezo na kujenga talaka kwa ajili ya AFCON..
Nafasi ya kupiga hela hizo kama kawaida Murkomen anazichukua kama za barabara... Ababu akapige muratina huko ushagoo kwao..
#Loot-all mustgooo# #Rutomustgoo#... 🤣🤣
Halafu utasikia kwenye vijitakwimu vyao uchwara mwaka huu wa fedha wamejenga 10,000km za lami 🤣🤣🤣🤣
Siasa za manyang'au ni tumbo,