ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Huyo jamaa I have already ignored him.Anhhhh Bana Acha hzo ππππ
So unabishia treni ya mizigo aitoanza,si ni ww uliapia sgr railway ikifika km 200 unajitoa jf!I wa replying to this. Ama huyu sio mtanzania?π€£π€£πππ
Tupende kusifia lakini tupende pia kukosoa mzee, hatuwez kuona ujinga alaf tukaendelea kusifia, na nashangaa bado Una like comments zangu ππππππHuyo jamaa I have already ignored him.
Akikosolewa Magufuli ni sumu ila akikosolewa Samia ni Haki πππππππTupende kusifia lakini tupende pia kukosoa mzee, hatuwez kuona ujinga alaf tukaendelea kusifia, na nashangaa bado Una like comments zangu ππππππ
Haya yanayowakuta wenzetu wakenya ndio haya ambayo tunayafanya SASA hvi kwa kusifiana, hata wao walikua wakisifiana wanaficha maradhi na haya ndio matokea yake sasa tunaona
Kutembea ndani ya treni wakati wa kupanda πΈπππ wewe unadhani kwa nini kila behewa kuna mlango ni kupunguza usumbufu wa kupishana kwenye korido ndogo za treni tena ukumbuke watu wanakuwa na mizigo sasa upande behewa la kwanza na mabegi kisha utembee hadi la 24 ......kweli upumbavu ni kipajiπΈπΈπΈπΈkwa nini? sijaona tatizo bado hapo, kwanza hiyo ni station kuu au station ndogo? halafu kwani kuna shida gani abiria kupandia platform yoyote na kutembea ndani ya treni kwenda kwenye behewa walipendalo? isitoshe treni inaweza kupunguzwa au kuongezwa mabehewa kulingana na demand, binafsi sijaona bado huo βupumbavuβ wa mainjinia wetu hapo β¦
Wewe una behave kinafiki nani hakujui?Huyo jamaa I have already ignored him.
Kweli. Tusifie panapostahili kusifiwa na tukosoe panapostahili kukosoa. The guys is Chawa hana cha maana chochote ni upuuzi tu.Tupende kusifia lakini tupende pia kukosoa mzee, hatuwez kuona ujinga alaf tukaendelea kusifia, na nashangaa bado Una like comments zangu ππππππ
Haya yanayowakuta wenzetu wakenya ndio haya ambayo tunayafanya SASA hvi kwa kusifiana, hata wao walikua wakisifiana wanaficha maradhi na haya ndio matokea yake sasa tunaona
πππ¨π¨ Chawa ndio nini? ππKweli. Tusifie panapostahili kusifiwa na tukosoe panapostahili kukosoa. The guys is Chawa hana cha maana chochote ni upuuzi tu.