Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hiyo treni inashusha na kupandisha watu dodoma tu ujui inavituo vingi tena vinaendelea kujengwa kama hili kosa likiendelea itskuwa ni upumbavu ..tatizo lenu kwenye huu uzi mmejazana wapuuzi ambao mnaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi.
 
Behind the scenes wanakubaliana na maneno yangu, huku ndio wanajifanya wajuajiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…