Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mambo mawili yawezekana wanafanya majaribio au hujuma zimeanza bado mapema Sana na safari hii tusipokua makini hujuma zitakua nyingi Sana kwasababu tunaleana watoto WA mjomba na shangazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani treni ya mzigo imeanguka naona mtoto WA mjomba amekalia kiti cha uwaziri anazungumza heheheπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Imekuwaje pesa ilikuwa inatosha
 
Kitu kimegota porini, mwarabu wa dubai ashawekwa kwenye speed dial 😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…