Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza mwaka gani zilicheza, Gor mahia hio ambayo imetolewa juzi kagame cup na team ndogo Sana 🀣🀣🀣🀣🀣
Si Yanga pia juzi ilichapwa na Kariobangi SharksπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hata hao baadhi ya wazungu anaokuwa anajitamba nao kwamba wanasema Nairobi imeendelea kuliko Dar ni wale wazungu ambao ni wageni sasa waki Google wanakuta articles za wakenya wakijisifu wapo juu ya nchi zote EA so nao wanaenda na perception hiyo, ila wakija wanakuta utofauti mkubwa, na kiukweli hayo yote tumeshaanza kuyabadilisha mana na sisi nowadays tupo vzr mitandaoni, ukweli ni kwamba kwa sasa nchi zote EA tumezizidi mbali kimaendeleo. Tanzania kuna sehemu zina view za Europe kabisa ambazo huwezi kukutana nazo nchi nyingi za kiafrika, mfano mdogo hizi hapa ambazo ni chache kati ya nyingi tulizo nazo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sasa hivi Gormahia ikicheza na Yanga Gormahia inafungwa 50.
Labda Gormahia tuipe Tanzania Prisons ndio watatoshana.
Gor Mahia haina hadhi ya kucheza na Yanga kwa sasa, ni sawa na timu ya mchangani iite Man united icheze nayo, timu za hadhi ya Yanga huwa zina ratiba nyingi, so ukitaka kucheza nayo inabidi uombe mwaka kabla, pia kwa ajili ya kulinda wachezaji wao kuumia kutokana na timu ndogo kukamia mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…