Hivi huyo Mkenya anaejisifia English ni Mkenya gani? Na huyo Mtanzania anaesemwa hajui English ni Mtanzania gani?Zambia na malawi wanaongea fluently english kushinda kunyan na atuwasikii kujitambia hiyo lugha
Fluent EnglishβοΈZambia na malawi wanaongea fluently english kushinda kunyan na atuwasikii kujitambia hiyo lugha
The first Starbucks in Tanzania π€£π€£πDar es Salaam Starbucks will Open soon! Soft Opening now.
View attachment 3061074View attachment 3061075
Humu ndani wataongea Kiswahili tu watake wasitake! NairobiWalker!Dar es Salaam Starbucks will Open soon! Soft Opening now.
View attachment 3061074View attachment 3061075
Naona mnaumwa kweli. Tofauti ni kuwa huyo Mkenya wa mtaani anaweza communicate kwa Kiingereza ukaelewa, yule aliyeingia darasani atakuongelesha Kiingereza fluent. Meanwhile hapo Bongo huyo wa darasani bado atastruggle, yule wa mtaani ndio majanga, hapo hamtoelewana kabisa. Ukipata Mtanzania anaongea Kiingereza safi jua huyo hakusomea Tanzania.Hivi huyo Mkenya anaejisifia English ni Mkenya gani? Na huyo Mtanzania anaesemwa hajui English ni Mtanzania gani?
Mbona ukiingia mtaani Wakenya wengi tu wana Kiingereza kibovu. Ukiona anaongea Kiingereza kimenyooka ujue kaingia darasani kama Watanzania tu. Angalia random TV interviews utawasikia wanavyobomoa lugha ya watu.
Wewe ndio unaumwa tena sana. Eti ukipata mTz anaongea Kiingereza safi hakusomea Tz. Unaota wewe. Nimekaa na nunefanya kazi na Wakenya. Mna maneno mengi tu hamna Kiingereza chochote cha ajabu. Tena miaka hii Kiingereza Tz ndio kabisa sio issue.Naona mnaumwa kweli. Tofauti ni kuwa huyo Mkenya wa mtaani anaweza communicate kwa Kiingereza ukaelewa, yule aliyeingia darasani atakuongelesha Kiingereza fluent. Meanwhile hapo Bongo huyo wa darasani bado atastruggle, yule wa mtaani ndio majanga, hapo hamtoelewana kabisa. Ukipata Mtanzania anaongea Kiingereza safi jua huyo hakusomea Tanzania.
Basically umekubaliana na mimi ila unazunguka tu.Naona mnaumwa kweli. Tofauti ni kuwa huyo Mkenya wa mtaani anaweza communicate kwa Kiingereza ukaelewa, yule aliyeingia darasani atakuongelesha Kiingereza fluent. Meanwhile hapo Bongo huyo wa darasani bado atastruggle, yule wa mtaani ndio majanga, hapo hamtoelewana kabisa. Ukipata Mtanzania anaongea Kiingereza safi jua huyo hakusomea Tanzania.
Tazama travellers wanaotembelea nchi hizi mbili utawaskia wakikubali. Ubaya wenu hamkubali kushindwa hata kama jambo lipo wazi. Wakenya huwa tunakubali kuongea Kiswahili sanifu generally mpo mbele yetu ingawaje tunajua sio wote mnaoongea Kiswahili sanifu yet mkiambiwa ukweli kuhusu Kiingereza mnafura. Sasa kama mtu kama Diamond aliyetembea na kuinteract na watu wengi wanaoongea Kiingereza anashindwa na vitu vya kawaida kama 8 o'clock anasema 2nd sasa what chance does the average Tandale muffin have.Wewe ndio unaumwa tena sana. Eti ukipata mTz anaongea Kiingereza safi hakusomea Tz. Unaota wewe. Nimekaa na nunefanya kazi na Wakenya. Mna maneno mengi tu hamna Kiingereza chochote cha ajabu. Tena miaka hii Kiingereza Tz ndio kabisa sio issue.
Ukila kichapo unaumiaga eeh.? πππNilikuuliza kama una pesa na bado hujanijibu. Nangoja answer yako.
Nikubali nini? Kwamba mnaongea Kiingereza bora kutushinda? Wacha kunichekesha. π€£ π€£ π€£Basically umekubaliana na mimi ila unazunguka tu.
Niko abroad,kunyan wengi ninaokutana nao hawajui kiingerezaHivi huyo Mkenya anaejisifia English ni Mkenya gani? Na huyo Mtanzania anaesemwa hajui English ni Mtanzania gani?
Mbona ukiingia mtaani Wakenya wengi tu wana Kiingereza kibovu. Ukiona anaongea Kiingereza kimenyooka ujue kaingia darasani kama Watanzania tu. Angalia random TV interviews utawasikia wanavyobomoa lugha ya watu.
Nimekwambia hivi hata mtaani Kenya wengi wana Kiingereza kibovu. Wenye Kiingereza kimenyooka wameenda shule. Wewe pia unakubali hii ila umejitetea kuwa wakiongea wanaeleweka. Kwa mtu alieenda shule sijaona tofauti yoyote kwenye Kiingereza kati ya mTz na mKe.Tazama travellers wanaotembelea nchi hizi mbili utawaskia wakikubali. Ubaya wenu hamkubali kushindwa hata kama jambo lipo wazi. Wakenya huwa tunakubali kuongea Kiswahili sanifu generally mpo mbele yetu ingawaje tunajua sio wote mnaoongea Kiswahili sanifu yet mkiambiwa ukweli kuhusu Kiingereza mnafura. Sasa kama mtu kama Diamond aliyetembea na kuinteract na watu wengi wanaoongea Kiingereza anashindwa na vitu vya kawaida kama 8 o'clock anasema 2nd sasa what chance does the average Tandale muffin have.
Maskini wewe.Ukila kichapo unaumiaga eeh.? πππ
Mimi nimekutana nao wengi tu akina Njoroge. Kiingereza kibovu tu nashangaa sana wakijisifia. Kuna nilifanya nao kazi hapa Tz wale wale tu kawaida sanaaaa.Niko abroad,kunyan wengi ninaokutana nao hawajui kiingereza
Umekubali mtaani wakenya wengi wana kiingereA kibovu. Hamna cha ajabu. Infact Africa nzima wengi wanavunja tu. Hata SA wapi kibao Kiiingereza kimewapitia kushoto.Nikubali nini? Kwamba mnaongea Kiingereza bora kutushinda? Wacha kunichekesha. π€£ π€£ π€£
Na hapo ndipo unapotafutia pa kutokea. Nimekueleza wazi kwamba Mkenya aliyeenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania aliyeenda shule. Mkenya mwenye hakuenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania mwenye hakuenda shule.Nimekwambia hivi hata mtaani Kenya wengi wana Kiingereza kibovu. Wenye Kiingereza kimenyooka wameenda shule. Wewe pia unakubali hii ila umejitetea kuwa wakiongea wanaeleweka. Kwa mtu alieenda shule sijaona tofauti yoyote kwenye Kiingereza kati ya mTz na mKe.
Hapa Kenya tunaye Khaligraph ambaye level yake ya kimasoma ni sawa na Diamond. Ushawai msikia akiongea Kiingereza? Same na Otile Brown. Ndio maana nikakuelezea Mkenya na Mtanzania wenye level moja ya kimasomo Mkenya atajua kuongea Kiingereza vizuri kuliko Mtanzania. Hilo hata Wabongo wenzako wanalijua ila ni ubishi tu mtatafuta.Diamond hajaenda shule,kajifunza Kiingereza ukubwani ndio maana under pressure anavunja. Hajaizoea hio lugha though anajitahidi.