Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians enjoy living in houses😁
 
What so special na kinachoendelea? The only major project worthy above $150 mln in the whole of Ukunduni!
 
Niliona report leo majengo yao mengi ya apartments hazina watu. 😂😂😂
Zile "sold wakati wa ujenzi" ni aina ya marketing tu.
Ukileta evidence ya hiyo report unitag nihame JF😂😂🤣
 
Post humu ndani mkuu ili wapunguze midomo Hawa kondoo 😂😂😂😂
Akipost unitag😂😂🤣🤣.

Kenya watu sio maskini kama huko kwenu. Huku nyumba inakuwa filled even before completion. In Tanzania TPA is now 10 yrs old na bado iko half empty😂😂
 
Ungejua anatafuta popularity kenya msingempa attention
Na amewawin tayari...nyinyi mnadhani anawanyenyekea😂

Ndo maana entertainment showbiz ya Tanzania imewapiga gape kuubwa
Tiktok account ambayo ilimlisha imebaniwa na unasema amepata umaarufu? Bongolala ni bongolala tu.🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…