Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe nyuma yake...Aerial view.
nimegundua mnadevelope kando ya highways pekee...ndio maana picha zenu outside TPA ni along the roads.
 
Hizo picha hapo juu zafanana na za miji ya Mombasa na Malindi. Kudos kwa Dar slum naona inajaribu kuipiku Mombasa lakini bado.
Mkifikia level hio unitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sawa mmeshinda.....Dar ni mji wa kimataifa na imeshinda Nairobi kwa mbali sana....lol
Hapana, hii thread haina kushinda wala kushindwa, ukifanya hivyo itabidi ifike mwisho, na lengo lake iweze kuendelea ili kuonyeshana mambo mapya yanayotokea, kifupi hauruhusiwi kusalimu amri, wewe lete mambo na sisi tunashusha vitu, bampa to bampa

Water World - Dar es salaam








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…