Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

First leg Gor Mahia chased Yanga with proper beatings. Final score was 4-0.

View attachment 3062517
Hahahahaaaa kwa kupost hivi ndo mnadhani mtapata mechi na Yanga? Yanga ilipofika kwa sasa haichezi mechi na timu ndogo ndogo, hatuchezi kwa kujifurahisha tunacheza kwa focus, we unadhani mchezaji kama Aziz Ki aumie kwenye mechi ya ndondo na timu isiyo na malengo unadhani itakuwaje, hakuna mechi mkitaka kuijua Yanga vzr pambaneni mfike mtoano alafu mkutane na Yanga, ila kwa sasa 👇👇😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Yanga ni mchumba kwa Gor mahia 👇😂
 
Nnimependa ulivyochangia. Hauna mihemko kama wengine wenu humu. Points zako zinasikikika ila ningependa kukukosoa kidogo.

About government priorities, hapo upo sawa. Kila serikali inapoingia inakuja na priorities zake. Huku kwetu, kwa sasa serikali umeweka kipao mbele ujenzi wa affordable houses ila private sector ndio bado wako kwenye mstari wa mbele kudevelop nyumba za kuishi Kenya, which is a sharp contrast na huko kwenu.

Secondly, about building your own house or buying an apartment unit nadhani hauko sawa. How many people in Dar own land? I can guess not even a quarter of the residents do. Which option, therefore, does the remaining three quarter have if not renting or buying an apartment? We need to be realistic here. Dar has six million residents. Of these, ni watu wangapi wako na uwezo w kununua ardhi na kujenga? Nauliza hivyo Kwa sababu umesema bongo ardhi si changamoto.

Na kama ni kweli an ordinary Dar resident ako na huo uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga nyumba Kwa design anavopenda, (what you've christened hekalu) basi uswazi lisingekuwa jambo la kawaida Dar kwa sababu mimi pica za Dar ninazojua na kuziona mitandaoni, zaidi ya nusu ya Dar ni uswazi.
 
Ukisema utafiti wanaomiliki ardhi Dar basi unaweza kuta more than 60% wanamiliki ardhi.
Kwasababu wengine waandishi Dar ila wanajenga Morogoro na Mkoa wa Pwani.
Huwenda labda hujui maisha ya bongo yalivyo,sio kama wakazi wote wa Dar ni wakazi wa kudumu.
Wengine wamepanga vyumba Dar kimakazi ila ana nyumba Morogoro,Kisiju au Bagamoyo.
 
Na ni nani alikuambia kwamba hauwezi ukamiliki nyumba kwenye apartment? Nairobi apartments nyingi zinazojengwa haswa in Kilimani, Kileleshwa, Westlands, Parklands, Hurlingham, Lavington, South C, na maneno mengi ni za kuuzwa

Unaposema nyumba za kumiliki mwenyewe sijui unamaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…