Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Elimu ya Kenya huwaaandaa Wakenya kuwa Watumwa wa makampuni ya Wazungu na si vinginevyo. Hawana baraka ya kuandaliwa kifikra za kujitegemea tangu wadogo kwakua kujitegemea kunaitaji resources ambazo haziko hata mikononi mwa serikali yao.

Ajira ndio kitu pekee cha kuwawezesha kula na kuvaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nanunua ngapi hapo hivi vidubwana.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎView attachment 3064092
Umekimbia kuwithdraw pesa za demu wako upige picha kisa umeoneshwa Camera za bei. Alafu pesa zenyewe madafu. Hiyo noti ya 10k hapa kenya ni 500. Hizo pesa zote hazifiki 50k za Kenya alafu unalinganisha na bei ya DJI OSMO Pocket 3. Hivi unajua bei ya hiyo Camera. Alafu hizo ni savings zako zote, camera yake ni kitu cha leisure tuu, yani kile kitu ananunua tu kujifurahisha. Leo umesumbuliwa sana, sidhani utalala vizuri leo. 🀣 🀣 🀣
 
Mtafanya huyu jamaa hata aombe watu pesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Mtafanya huyu jamaa hata aombe watu pesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Si huwa mnasema Kenyans in JF are jobless? Tena tukianza kuongelea mambo ya mishahara mnakasirika. Kwani mnataka nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Skia halafu wewe mpumbavu naweza share these kinda pictures like every single day NairobiWalker hizo pesa mimi kwasasa mashaallah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sidhani kama utawezana sasa. Heb post kwanza unatumia simu gani we mbwa.?
Natumia Google Pixel 7 Pro. Wewe unatumia Gani?πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…